Isha Mashauzi ipeleka Modern Taarab katika ukurasa mpya

Joined
Mar 29, 2011
Posts
55
Reaction score
19
Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa katika Taarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…