Ms. Thandiswa
Member
- Apr 10, 2012
- 86
- 9
dadavua kila mmoja amepata tuzo ya nini
Namadmire sana kijana Lee kwa uwezo wake mkubwa ila pia Roma anastahili kuitwa mbadala wa Jay katika ulimwengu wa hiphop.... Big up sana!
Mashauzi mwachie isha--Joh makini
cjapenda hapo kwa Roma; wimbo bora wa hiphop alistahl roma bt msanii bora wa hiphop alistahl Fid Q
Mi nashukuru angalau kile kijumba chao cha vipaji sijui wanakiita mwaka huu hakikuona ndani sana.....maaan nilishakata tamaa na. Hiyo KTMA...!!!
kivipi King? najua iko kwn mstari wa Joh yako hii unamaanisha nini?
Walau mwaka huu kuliko walikotoka maana ilishazoeleka kama c FA na AY good job,
Roma deserved it, nashangaa fans wa Jay Moe wanalalamika
cjapenda hapo kwa Roma; wimbo bora wa hiphop alistahl roma bt msanii bora wa hiphop alistahl Fid Q