Ishara ya Utajiri bongo ni pamoja na hii...

Ishara ya Utajiri bongo ni pamoja na hii...

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
Ukiwa hivi ni rahisi kumdhamini mtu polisi au mahakamani...


DSC07728.JPG









DSC07731.JPG
 
Ndao zao bado ziko salama kabisa hii sampuli ya matajiri wa Bongo?
Hapa naona ugomvi kutwa mara tatu tu na mama watoto kama kumeza dawa, hamna kitu!!
 
Hawa jamaa wangepima afya zao naamini kabisa watakutwa na ugonjwa!!
 
Ungeweka na jinsia nyingine! Uchunguzi unaonyesha wao ndiyo wanavyo sana, therefore richer!!
 
uwe na tumbo hilo halafu na mkeo awe na ujauzito kweli mnaweza kukutana kimwili? :car:
 
Sipati picha sazi ya mishedede waliyonayo kama vibamia.
 
Back
Top Bottom