Ishi kifukara, uende peponi!

Mawazo na masikini anayewaza kusaidiwa maisha yake yote, tafuta hela ufurahie maisha ,
Mbinguni hakuna hicho unachokiwaza
 
Asilimia 99.9matajir wengi utafutaji wao umejaa dhuluma kumwaga damu na Mambo mengi ya anasa ni na kwenye bibili imeandikwa ni ngumu tajir kuingia kwenye ufalme wa mungu hebu tuchukulie ngamia anawezaje kupenya kwenye tundu la sindano? Ni mfano wa tajiri kuingia kwenye pepon
 
upo sahihi...Mungu anahitaji mtu Aliye Masikini wa Kiroho, ambae atamtegemea Mungu tu bila kujali utajiri alio nao! Sasa jamaa anadhani Umaskini wa kimwili!
 
upo sahihi...Mungu anahitaji mtu Aliye Masikini wa Kiroho, ambae atamtegemea Mungu tu bila kujali utajiri alio nao! Sasa jamaa anadhani Umaskini wa kimwili!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Milele Amina!
 
Kwanza tazama hao wanakuhubiri hivyo maisha wanayoishi.
Ufukara haukufikishi peponi kamwe. Kwanza ukiwa fukara ni rahisi kuwa na dhambi nyingi
 
Maandiko yaliposema masikini hayamaanishi masikini wa kipato.
Umasikini ndio chanzo cha maovu yote, sasa ukiwa masikini wa kipato haimaaishi utakatifu
 
Matajiri Wana thawabu zaidi kuliko masikini. Tajiri umtolea Mungu zaidi, tajiri ndie uajiri masikini apate sadaka na zaka ya kumtolea Mungu.
 
Kwahiyo Mungu Ni maskini.
Sasa iweje mseme utajiri wote wa dunia NI wake na sisi ndio wamiliki kutokana na yeye
Kijana Rudi kasome upya hapa nimemuona shetani katika maandishi yako.
 
Kwahiyo Mungu Ni maskini.
Sasa iweje mseme utajiri wote wa dunia NI wake na sisi ndio wamiliki kutokana na yeye
Kijana Rudi kasome upya hapa nimemuona shetani katika maandishi yako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ The choice is yours! Mbingu au Moto wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…