ZeeZoe
Member
- Dec 29, 2018
- 18
- 12
Habari wanajukwaa,
Natumai mwaka tumeuanza Salama Salmini.Mwanzoni mwa mwaka mambo hua mengi baada ya mapumziko kuna Ada za Watoto kuna mambo ya Kodi na kadhalika, Inabidi kujipanga vizuri kuhakikisha mambo yanaenda sawa. Zingatia yafuatayo yatakusaidia kidogo.
*Peleka watoto shule ambayo unauwezo wa kulipa Ada yake bila matatizo. Ada kubwa sio kipimo cha ufaulu wa mtoto.
*Panga chumba/nyumba ambayo Kodi yake unaweza kuilipa bila kujitutumua sana.kuna maeneo yana nyumba nzuri na bei ni nafuu pia.
*Sio lazima uende Na fashion kila nguo inayotoka unayo.fua nguo zako ulizonazo piga pasi vizuri,chana nywele zako utapendeza tu.
*Kula mlo kamili kuhakikisha afya yako inakua Imara vitu kama mbogamboga Na matunda ya msimu si gharama sana.jilinde dhidi ya mbu waenezao malaria kuepusha kwenda hospital mara kwa mara.
*kua Na marafiki wachache wenye Maana.
*Zaidi mkumbuka Mungu kwa kufanya ibada na pia kujituma muhimu.
*Usiige maisha ya jirani Yako (hii kwa wanawake zaidi) jirani yako na wewe maisha yenu Na vipato vyenu havifanani.
Tujitahidi kuishi maisha yaliyo ndani ya mwezi wetu huku tukiendelea kupambana kutafuta pesa tuweze kuishi maisha tunayotamani hii itapunguza misongo isiyo ya lazima.Wanawake pia tukumbuke kujikinga na mimba zisizotarajiwa kuna njia nyingi za uzazi wa mpango Ahsanteni.
Heri ya mwaka Mpya.. Mbarikiwe wote!