Ishi maisha yako, usifiche hisia zako

Ishi maisha yako, usifiche hisia zako

Arnold Kalikawe

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
152
Reaction score
374
Katika maisha yangu hakuna kitu ninachomuomba Mungu wakati mwingine kama kunipa roho ya kuweza kusimamia kitu ninachokiamini. Kusimama na kusema kwamba mimi nasimamia hapa. Watanzania wengi hatuna mambo haya.

Sisi tumejaza unafiki mkubwa sana mioyoni mwetu, tena mkubwa mno. Tupo radhi kusema napenda kitu fulani lakini kiukweli hukipendi, tupo radhi kumwambia rafiki Nakupenda lakini moyoni unamchukia. Unafiki ni dhambi kubwa mno.

Kutokana na unafiki wetu, watu hawataki hata kujulikana wanashabikia timu gani, ukiwauliza, wananyamaza, yaani hawataki kuonekana upo timu gani. Ni UNAFIKI mmoja mkubwa sana. Haya mambo huyakuti tu, Mungu hakuumba unafiki, haya mambo unafundishwa na familia yako ama jamii inayokuzunguka.

Unaambiwa kisa msanii, hutakiwi kuwa na timu. Yaani leo umwambie Diamond hutakiwi kujulikana wewe ni Simba ama Yanga, yaani ni MAUPUMBAVU tu tumejaza mioyoni mwetu.

Unashabikia Simba, kuna lijamaa linakuja na kusema hutakiwi kuwa na timu, yaani UPUMBAVU kila kona. Obama alikuwa na timu yake ya kikapu, Bush alikuwa na timu yake ya kikapu, kila mtu unayemjua ni maarufu ana timu yake anayoishabikia. Tom Holland anaishabikia Spurs, Kikwete yupo Yanga na Newcastle, yaani hakuna haja ya kuleta unafiki mahali fulani, wewe simama kwa miguu yako, iambie dunia kwamba mimi nipo hapa.

Haya mambo yanayoonekana kuwa madogo ndiyo huja kuwa makubwa. Unasikia tu kwamba jamaa aliuawa na rafiki yake, unasikia tu jamaa yule mkewe aliliwa na rafiki yake, unasikia tu kwamba yule jamaa kumbe na fulani haziivi japokuwa wanaongea.

Mi nawapenda sana Waarabu na Wazungu, huwa hawanaga unafiki hata kidogo. Waarabu wanakwambia tu kwenye suala la vita, tunamuunga mkono Palestina, Mzungu anakwambia namuunga mkono Israel, yaani ni very simpo ila huku kwetu unasikia mtu kasimama katikati, yaani hataki ajulikane yupo wapi. Huu ni UNAFIKI.

Halafu ukishakuwa mnafiki, ukimuona mtu hayupo upande wako, basi unachukia, yaani unachukia UPUMBAVU. Sehemu yoyote ile kukiwa na watu wawili wanaopambana, lazima utakuwa na upande, utake usitake.

Nenda uwanjani, utakuta timu hata huzijui, lakini ukikaa dakika tano tu unajikuta unatamani kuuona upande fulani ukishinda. Unafiki wetu unatuletea matatizo makubwa sana, unafiki wetu unatufanya mpaka tukose furaha na kuwaona wengine maadui zetu. Yaani ukishakuwa mnafiki, automatic unajenga chuki.

Mimi kama sikufagilii na kwambia tu SIKUFAGILII, yani white white black black, ukikasirika kimpango wako ila nimekwishakwambia ukweli. Unafiki unakuwa mwingi kwa kuwa watu wanataka kupendwa, na hili tunafundishwa utotoni, unakua nalo mpaka ukiwa mbunge, unajikuta tayari unafiki umekukaa moyoni mwako.

Wewe ukipenda CCM, CHADEMA, CHAUMA, CUF mimi wala sijali, sitokwambia unatugawa, sijui wewe jamaa nini na nini utosikia hayo. Diamond anapenda CCM kwani amepoteza watu? Profesa J anapenda CHADEMA kwani amepoteza watu?

Yaani mtu mpumbavu anashindwa kujua kwamba nodiebwoy si malaika, nodiebwoy ana timu zake, nodiebwoy ana watu wake anaowafagilia. Tatizo linaanza kutokea unapoanza kuhisi fulani ni malaika. Yaani unampa mtu umalaika fulani hivi kwamba hatakiwi kuwa na upande.

Braza! Unapokuwa Simba ama Yanga, usijifiche, acha watu wajue, ishi maisha yako, sasa usipoyaishi maisha hayo sasa hivi unataka kuyaishi lini? Eti mimi msanii, watu wakijua nashabikia Yanga mashabiki watagawanyika, bro! That’s rubbish, achana na hayo mawazo mgando, enjoy maisha yako, furahia leo kwa sababu hauna garantii ya kufurahia hautofurahia maisha yako yote.

Unaipenda Israel, sema naipenda Israel, unaipenda Palestina, sema naipenda Palestina, unaipenda Man U, sema naipenda Man U, tatizo tumejaza unafiki mioyoni mwetu halafu hapohapo tunaogopa kuishi maisha yetu kwa sababu ya watu fulani.

Bro! AM ENJOYING MY LIFE, WALA SIJALI yanakuumiza ama yanakufurahisha. Kuna watu waliwafurahisha sana watu maishani mwao lakini mwisho wa siku wao binafsi wakaikosa furaha mpaka vifo vyao. Opportunity ya kufurahi huja mara chache sana, usiiache iondoke.

Kuna mtu anakwambia mimi nasapoti Palestina... hapo hapo ukimwambia mimi nasapoti Israel anakasirika! Yaani ni vichekesho humu mitandaoni. Bro! Wewe hata ukimsapoti shetani mimi sitokulaumu, wewe sapoti chochote unachokipenda.

Nakushauri... ishi maisha yako, usifiche hisia zako. Kama kuna kitu kinakupa furaha, ukijisikia kuspeak, just speak out. Katika suala la kukufanya kuwa na furaha bro...hata kama kuna watu watalia kutokana na furaha yako...WEWE FURAHI TU.

Siku watakapopata furaha huku wewe ukiwa na huzuni, nakwambia ukweli, hawakutokuonea huruma, watafurahi mpaka machozi ya furaha yawadondoke.

Enjoy your life...support any team, country, any sport you like, support what you feel to support without hesitation. Kama mtu hana furaha juu ya furaha yako, mwambie FVCK OFF.
 
Bila unafiki huwezi kupata mafanikio ukiwa CCm.
 
Sehemu yoyote ile kukiwa na watu wawili wanaopambana, lazima utakuwa na upande, utake usitake.
Wengine wanakwambia hawako ccm wala chadema.....wao yote sawa tu.

Ila wanashinda hapa jukwa la siasa
 
Kibongo bongo sio rahisi kufanikiwa Kama uko very clear kwenye Mambo yako.
 
Kuwa na timu ni mimi na wewe wa mtaani

Unajua effect ya mtu kama Diamondi kuwa na timu hasa za ndani? Raisi je waziri Mkuu NAE. Watu wanafanya utafiti before kufanya mzee hatundi kiholela
 
Katika maisha yangu hakuna kitu ninachomuomba Mungu wakati mwingine kama kunipa roho ya kuweza kusimamia kitu ninachokiamini. Kusimama na kusema kwamba mimi nasimamia hapa. Watanzania wengi hatuna mambo haya.

Sisi tumejaza unafiki mkubwa sana mioyoni mwetu, tena mkubwa mno. Tupo radhi kusema napenda kitu fulani lakini kiukweli hukipendi, tupo radhi kumwambia rafiki Nakupenda lakini moyoni unamchukia. Unafiki ni dhambi kubwa mno.

Kutokana na unafiki wetu, watu hawataki hata kujulikana wanashabikia timu gani, ukiwauliza, wananyamaza, yaani hawataki kuonekana upo timu gani. Ni UNAFIKI mmoja mkubwa sana. Haya mambo huyakuti tu, Mungu hakuumba unafiki, haya mambo unafundishwa na familia yako ama jamii inayokuzunguka.

Unaambiwa kisa msanii, hutakiwi kuwa na timu. Yaani leo umwambie Diamond hutakiwi kujulikana wewe ni Simba ama Yanga, yaani ni MAUPUMBAVU tu tumejaza mioyoni mwetu.

Unashabikia Simba, kuna lijamaa linakuja na kusema hutakiwi kuwa na timu, yaani UPUMBAVU kila kona. Obama alikuwa na timu yake ya kikapu, Bush alikuwa na timu yake ya kikapu, kila mtu unayemjua ni maarufu ana timu yake anayoishabikia. Tom Holland anaishabikia Spurs, Kikwete yupo Yanga na Newcastle, yaani hakuna haja ya kuleta unafiki mahali fulani, wewe simama kwa miguu yako, iambie dunia kwamba mimi nipo hapa.

Haya mambo yanayoonekana kuwa madogo ndiyo huja kuwa makubwa. Unasikia tu kwamba jamaa aliuawa na rafiki yake, unasikia tu jamaa yule mkewe aliliwa na rafiki yake, unasikia tu kwamba yule jamaa kumbe na fulani haziivi japokuwa wanaongea.

Mi nawapenda sana Waarabu na Wazungu, huwa hawanaga unafiki hata kidogo. Waarabu wanakwambia tu kwenye suala la vita, tunamuunga mkono Palestina, Mzungu anakwambia namuunga mkono Israel, yaani ni very simpo ila huku kwetu unasikia mtu kasimama katikati, yaani hataki ajulikane yupo wapi. Huu ni UNAFIKI.

Halafu ukishakuwa mnafiki, ukimuona mtu hayupo upande wako, basi unachukia, yaani unachukia UPUMBAVU. Sehemu yoyote ile kukiwa na watu wawili wanaopambana, lazima utakuwa na upande, utake usitake.

Nenda uwanjani, utakuta timu hata huzijui, lakini ukikaa dakika tano tu unajikuta unatamani kuuona upande fulani ukishinda. Unafiki wetu unatuletea matatizo makubwa sana, unafiki wetu unatufanya mpaka tukose furaha na kuwaona wengine maadui zetu. Yaani ukishakuwa mnafiki, automatic unajenga chuki.

Mimi kama sikufagilii na kwambia tu SIKUFAGILII, yani white white black black, ukikasirika kimpango wako ila nimekwishakwambia ukweli. Unafiki unakuwa mwingi kwa kuwa watu wanataka kupendwa, na hili tunafundishwa utotoni, unakua nalo mpaka ukiwa mbunge, unajikuta tayari unafiki umekukaa moyoni mwako.

Wewe ukipenda CCM, CHADEMA, CHAUMA, CUF mimi wala sijali, sitokwambia unatugawa, sijui wewe jamaa nini na nini utosikia hayo. Diamond anapenda CCM kwani amepoteza watu? Profesa J anapenda CHADEMA kwani amepoteza watu?

Yaani mtu mpumbavu anashindwa kujua kwamba nodiebwoy si malaika, nodiebwoy ana timu zake, nodiebwoy ana watu wake anaowafagilia. Tatizo linaanza kutokea unapoanza kuhisi fulani ni malaika. Yaani unampa mtu umalaika fulani hivi kwamba hatakiwi kuwa na upande.

Braza! Unapokuwa Simba ama Yanga, usijifiche, acha watu wajue, ishi maisha yako, sasa usipoyaishi maisha hayo sasa hivi unataka kuyaishi lini? Eti mimi msanii, watu wakijua nashabikia Yanga mashabiki watagawanyika, bro! That’s rubbish, achana na hayo mawazo mgando, enjoy maisha yako, furahia leo kwa sababu hauna garantii ya kufurahia hautofurahia maisha yako yote.

Unaipenda Israel, sema naipenda Israel, unaipenda Palestina, sema naipenda Palestina, unaipenda Man U, sema naipenda Man U, tatizo tumejaza unafiki mioyoni mwetu halafu hapohapo tunaogopa kuishi maisha yetu kwa sababu ya watu fulani.

Bro! AM ENJOYING MY LIFE, WALA SIJALI yanakuumiza ama yanakufurahisha. Kuna watu waliwafurahisha sana watu maishani mwao lakini mwisho wa siku wao binafsi wakaikosa furaha mpaka vifo vyao. Opportunity ya kufurahi huja mara chache sana, usiiache iondoke.

Kuna mtu anakwambia mimi nasapoti Palestina... hapo hapo ukimwambia mimi nasapoti Israel anakasirika! Yaani ni vichekesho humu mitandaoni. Bro! Wewe hata ukimsapoti shetani mimi sitokulaumu, wewe sapoti chochote unachokipenda.

Nakushauri... ishi maisha yako, usifiche hisia zako. Kama kuna kitu kinakupa furaha, ukijisikia kuspeak, just speak out. Katika suala la kukufanya kuwa na furaha bro...hata kama kuna watu watalia kutokana na furaha yako...WEWE FURAHI TU.

Siku watakapopata furaha huku wewe ukiwa na huzuni, nakwambia ukweli, hawakutokuonea huruma, watafurahi mpaka machozi ya furaha yawadondoke.

Enjoy your life...support any team, country, any sport you like, support what you feel to support without hesitation. Kama mtu hana furaha juu ya furaha yako, mwambie FVCK OFF.
Hata Mimi nikiulizwa vipi unakunywa pombe nakataa
 
Hii Dunia Ni yetu na unafiki ndio maisha yetu ,ukileta misimami yako tunakupeleka mbinguni kama Yule WA Chato ukaoneshe misimamo kwa Malaika ....!

Unafika unakufanya upate Kazi ...

Unafiki unakufanya usaidike kirahisi ...

Unafiki unakufanya ukubalike kwenye Jamii..

Unafiki unakufanya kuwa na connection na watu ...

Unafiki unafanya uwe na marafiki wengi ...

Unafiki unakufanya kuwa na maisha mazuri ....

Unafiki ndio Kila kitu ,kwenye maisha ...

Misimamo unakufanya uonekane zumbukuku hasa kama huna mamlaka,et Leo hii masikini awe na msimamo[emoji23] ,utaonekana Tahira,be like water ...

Ukileta misimamo yako ya kihuni ,Mara nyingi watu wenye misimamo wanajiona wako sahihi lakin Jamii inawachoka mapema Tena inawatafutia namna ya kuwapoteza ..

Endelea kukaza fuvu fuvu et misimamo ,unatakiwa kujua kuwa unaishi kwenye Dunia ya wanafiki ,ukileta misimamo uko against the world na you will be assassineted....

Zunguka kote Duniani watu walivokuwa na misimamo waliishia pabaya ,na wanafiki wanabaki wanakula Bata huku wakiwasimulia watoto wao misimamo ya waliopita ....
 
Back
Top Bottom