Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale.
👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa.
Uku Tanzania mtu anatumikishwa masaa kibao anakuja pewa pesa ndogo sana.. na Watanzania wanapokwenda south Africa wanakuja kwa lengo la kupiga kazi sawa ila wanasahau kuwa huku sio Tanzania.
Wasouth sio wavivu sema wako na utaratibu wao wa kufanya kazi wanajari afya na muda pia sisi wabongo hatujari chochote ilimradi pesa inapatikana. Kwanini sasa msouth asikuminye.
USHAURI: MKIJA KWENYE NCHI ZA WATU KUWA WAPOLE FUATA UTARATIBU USHAMBA ACHA UKU KWENYE NCHI YETU YENYE MAZUZU WENGI.