hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
kama kichwa cha habari hapo juu
1. ukiona umezaa na mwanamke watoto zaidi ya mmoja na bado unamuona hafai kumuoa jua hujajitambua
2. ukiona uko kwenye chama fulani halafu hupendi kinavoendaenda ila huwazi kutoka jua wewe bado kujitambua
3. ukiona umefika chuo kikuu na fani unayosomea hujui utakua nani baadae jua hujajitambua
4. ukiona unaichukia kazi uliyonayo na huku hutaki kujaribu kutafuta nyingine jua una tatizo tajwa
5.kama umeishi na mwenza wako miaka kibao alafu mna watoto wakubwa ndio unaenda kufunga ndoa(mfano at 50)jua hujajitambua
6. kuna marehemu amejinadi haamini uwepo wa mungu takriban miaka hamsini, ile anataka kufa ndio anasema amemjua mungu ,jua hata huko alikoenda ni hofu tu ila hakuwahi kujitambua
7.umehudhuria semina kibao za biashara na huna hata genge,we jua hujajitambua
8.ulipogundua mchungaji anatoka na mke wa mtu ukaamua kuhama kanisa,jua unaweza kufa hujajitambua
9.ukifika hoterini hujui ule nn mpaka uone jilan anakula nini ndio uige,jua bado wewe
10. ulivosoma sana kuajiriwa ikawa ndio target yako, hujajitambua
11.kuamini kila mwanamke anachukulika ukikomaa/mwanaume anategeka huku una baba ako na mama ako hawana hata mtoto wa nje na wanakwambia wana miaka hamsini ya ndoa na kondomu hazikuwepo,hujajitambua
jazia yako,
NB, kuna watu wamekufa hawajawahi jua duniani walikuja kufanya nini,na wengine wapo ,at their 60th hataki kuamini kwamba anazeeka,anacheza na wewe at 18years ,then anakuja kuzaa na mwanao wakati mna miaka 50, hawa watu hawajajitambua
plz mod, help me to take this thread to jamii chitchat