Ishini na wanawake vizuri

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Ndugu majamaa leo siongei mengi Ila nilikua tu nataka kuwaambia ishini na wanawake vizuri utelezi upo Tena bila hata Mia.

Mmesikia nyie mnao tafuta hela....?


Ila msijisahau.
 
Kapime gono Sasa uone lilivyokujaa..[emoji23]
Acha uoga[emoji1][emoji1] Bora hayo magono yanatibika Kuna mnyama anaitwa herps huyu ni balaa
 
Ndugu majamaa leo siongei mengi Ila nilikua tu nataka kuwaambia ishini na wanawake vizuri utelezi upo Tena bila hata Mia.

Mmesikia nyie mnao tafuta hela....?


Ila msijisahau.
Waambie waambie waambie
 
Ata wao pia wana nyege kuna muda wanatoa tuu kupunguza ukali wa nyege. Ngoje nipite uzi wa kimasihara nione shuhuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…