Kabisa maana kama unajaribu Mara mbili Mara tatu mwishowe unakamatia hasa na kujikuta faida zinaflow.Kama hauko tayari kufeli na ukajaribu tena huwezi toka.Yani ukianguka unatakiwa kufikiri chanya na kufikiria ni kipi umekosea ni wapi ujaribu unapozidi kujaribu ndo unakuta unapata kitu kizuri zaidi