Ishu ya Bruce Jenner ni Illuminati agenda

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957

We all know kwamba hawa jamaa wa secret societies huwa wanaitumia hollywood kuonyesha plans zao za future
kwa mfano 9/11 ilishaonyeshwa sana kwenye movies years ago hata movie kama tommorow land ya G Clooney ni mpango wao wa NWO ambao this september utapewa baraka zake pale Philadelphia

Lakini wajua issue ya Bruce Jenner kujibadili kuwa mwanamke ilishaaonyeshwa siku nyingi?????damn these dudes wanaanza kulazimisha mashoga na transgenders waonekane watu poa tu.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka kunakesi ambayo, baba wa familia alibadili jinsi Na kuwa mwanamke, watoto walipoulizwa wanajisikiaje, baba Yao kuwa mwanamke.......
 
We all know kwamba hawa jamaa wa secret societies huwa wanaitumia hollywood kuonyesha plans zao za future
kwa mfano 9/11 ilishaonyeshwa sana kwenye movies years ago hata movie kama tommorow land ya G Clooney ni mpango wao wa NWO ambao this september utapewa baraka zake pale Philadelphia

Lakini wajua issue ya Bruce Jenner kujibadili kuwa mwanamke ilishaaonyeshwa siku nyingi?????damn these dudes wanaanza kulazimisha mashoga na transgenders waonekane watu poa tu.

Illuminati ni nini? Maana wananitumiaga message
 
Last edited by a moderator:
Conspiracy theories, story za vijiweni, mawazo ya kitoto bila reasoning, na dini (sad but true) ni matatizo makubwa Tanzania na Africa kwa ujumla kuliko hata ujinga wenyewe
 
pole sana,wewe ndiye mjinga hapa,unamkumbuka yule promoter nguli wa boxing kule UK aitwaye Frank maloney sasa hvi kajibadilisha kuwa mwanamke?then hii issue ya Bruce jenner???walishafanikiwa kufanya ushoga uonekane kitu cha kawaida sasa wanaingia kwenye watu kufanya huu ujinga kama BAPHOMET wao
download.jpegnimwanaume huyo ila angalia matiti hayo,do research ndio uanze kuita watu wajinga
 
Hivi kuna watu hadi saizi wana amini kuwa "illuminat ina exist"???? I cant believe in secret service to exist in this world.
 
mh ila Bruce naee mama Kim chozi lilimtoka *****...he he heer ila Bruce aliponea chupuchupu kuwa na mtindio wa ubongo waiiiii
 
Hivi kuna watu hadi saizi wana amini kuwa "illuminat ina exist"???? I cant believe in secret service to exist in this world.
Subiri this september kuanzia tarehe 23-29 uone kitakachotokea huko Philadelphia wakati Pope atakapotia maguu ,new world order ndio kipenga kinapulizwa,na wakati huo huo CERN( i hope you know what it is) itakuwa imefikia hatua fulani,mbona ni balaa,tena full blood moon ndo tarehe zake hizo
 
Matope unantisha
 
Matope unantisha
ndio ukweli huo dada,hawa jamaa wanacheza na mungu sasa,CERN ni project wame i set huko switzerland wanatafiti big bang theory ilitokeaje yaani hata yule atheist physics prodiy(Stephen Hawking) aliwaambia mta destroy dunia lakini they aredoing it on purpose ila mungu mkubwa sasa hivi wankutana na vitu vya ajabu sana huko chini walipofika,na viko nje ya uwezowao
 
pole sana,wewe ndiye mjinga hapa,unamkumbuka yule promoter nguli wa boxing kule UK aitwaye Frank maloney sasa hvi kajibadilisha kuwa mwanamke?then hii issue ya Bruce jenner???walishafanikiwa kufanya ushoga uonekane kitu cha kawaida sasa wanaingia kwenye watu kufanya huu ujinga kama BAPHOMET wao
View attachment 255635nimwanaume huyo ila angalia matiti hayo,do research ndio uanze kuita watu wajinga

What a joke!! Research zinafanywa youtube siku hizi! No wonder kichwani mwako zimejaa conspiracy theories tu na hili ni tatizo kubwa Tz kuliko hata ujinga wenyewe, don't get it twisted sijasema wewe ni mjinga ila hili ni tatizo zaidi ya ujinga. Mwisho utasema kila shoga ni freemason kitu ambacho hata akiexist
 
Kwani huyu Bruce Jenner ndo wa kwanza kubadilisha jinsia?. Wangapi walisha badilisha? Na kwa nini yeye kujibadilisha ndo una link na illuminate?

Tatizo la watu wanaoamini hizi conspirancy theory wanakuwa kama watu wanao amini uchawa. Mtu anaye amini uchawi kikitokea kitu chochote ana kimbilia kwa mganga eti ana logwa.
 
Back
Top Bottom