johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono 😀
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono 😀