johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ingekuwa mshindi anatokana na ubora sera, tusingeona hila za kujaza fomu.Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono π
Ukiona mtu anakomalia kumlaumu Marehemu, kafilisika kichwani haoni pa kujifichia.Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono π
Kama mnazijua ni kero kwanini hamkutatua?Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono π
Na wewe mfuate huko aliko maana akiguswa tu unahamaki. Shetani mbona hashi kutajwa kwenye nyumba za ibada.Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo Hadithi za Mwendazake Shujaa Magufuli.
Mlale Unono π
Tena amemzidi kwa mbali sana kwa uovu.Mke wa Hafidhi hana tofauti na jiwe