Isidingo la Gesi: Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam

Thanks for this fabulous insight ,Kudos bro
 

Tunaposema mikataba iwe hadharani hamtaki ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti, ikifika wakati wa uchaguzi mnanajisi uchaguzi. Huo Mkataba wa Gas ulipitishwa bungeni kwa hati ya dharura, Ndugai akiwa naibu spika, mbona hakuna uwajibishwaji? JK ndiye aliyeingia hiyo mikataba, leo amekabidhiwa nyumba kwa kazi nzuri ya kuuza gas yetu! Fuatilia mkataba wa umeme wa SG, nao utakuta upigaji ni huu huu.
 
Hii comment yako ina add nini au inajibu vipi huu uzi? Mbona tunakua wajinga sana hata pale tukiambiwa jambo la msingi?
Wewe jamaa nahisi utakula ni kula na kulala .sidhani hata kama una shughuli ya kufanya kupata kipato
 
Msumbiji umasikini umepungua?
 
GOOD IDEA VIONGOZI WAFANYIE KAZI HUU USHAURI WA MLALAHOI UPO VIZURI
 
Heshima mbele mkuu. Umejenga hoja njema kabisa. Swali langu. Hivi ilikuwaje JPM akajitosa mikataba ya dhahabu, gesi hakuigusa? Hiyo sheria ya kwamba sisi ndio wamiliki wa rasilimali zetu zote, kwenye Gesi haihusiki?
 
Yani gas yetu inanufaisha watu wengine uchizi wetu ni wakiwango cha mopalmo.. Gesi inatakiwa itunufaishe tukishashiba ndio tuwape wengine ila Waafrika tunawaza kuuza zaidi kuliko kufanya maisha ya watanzania mazuri
 
Huyo uliemuita siku hizi kawa mfia dini....huku raslimali za watuwake zinabebwa!

Simple I can explain is that, you are A low profile,hunijui nasimamia kitu gan...

Wanaonijua wananielewa,huo udini unaosema ndiyo proud YANGU
 
Suala la bandari ya bagamoyo sikubaliani nalo bcs mwendazake alishasema tutapigwa kwenye hiyo bandari
 
Hii nchi hii, bila ya maamuzi magumu, mambo haya hayaishi ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…