Isidingo walikuwa wanawalipa ITV?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari,

Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu.

Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha.

Pigia Yesu Makofi πŸ‘πŸ‘
 
Hii uzalo bado sana kwa Isidingo labda huko mbeleni ila hadi sasa haijanistua....sijaona la maana labda ikija kuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…