Isidingo

ha ha ha... nimeamua nijipe likizo ya kuiangalia
 
Ni mchezo unaoonyesha matukio ya kila siku!!!!
 
Ivi ipo season ya ngapi, nataka nianze season 1 episode 1
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ season ya 1000000 episode ya 9812345678912345678123456789
 
Nakumbuka ilianza kuonyeshwa 1998 baada ya tamthilia ya egoli kukatazwa.
 
Tangu me mdogo enzi hizo tv ipo kwa jamaa mmoja tunaenda kuangalia trailer ndo inawekwa hyo tunaangalia tu hatuelewi lolote ikifika saa mbili mda wa wanaoangalia muvi...muvi 2 sh. 50.....hahahahaaaaaa tumetoka mbali sana, isidingo haiji kuisha labda tuishe watazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…