Watejaji ni wao, tamka wazi wazi kuwa kundi fulani ndio watekaji. Haya ya kusema jumla jumla hayasaidii. let implicate them directly!Wakuu,
Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita, amevishambulia vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa kudai kuwa vimeshindwa kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na matukio ya utekaji, mauaji, na watu kupotea.
Akizungumza na wanahabari leo Jumapili mkoani Dar es Salaam, Mchinjita amesema kuwa nchi imekuwa ikikabiliwa na wimbi la matukio ya utekaji, mauaji, na kupotea kwa watu bila kujulikana waliko, lakini hakuna taswira yoyote kutoka kwa vyombo vya dola inayoonesha kuwa kuna tatizo kubwa linalopaswa kushughulikiwa kwa dharura.
"Ukirejea ripoti nyingi zinazoonesha kwamba mamia ya Watanzania wamepotea, watu wameuawa lakini huoni ukisikiliza viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama haupati taswira kwamba wanataka kukabiliana na jambo kubwa", ameeleza Mchinjita ambaye pia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara.
View attachment 3664384
Sure..wanafanya maigizo hawa.Watejaji ni wao, tamka wazi wazi kuwa kundi fulani ndio watekaji. Haya ya kusema jumla jumla hayasaidii. let implicate them directly!
ok .🐒Wakuu,