isingekuepo perfume sijui ingekuaje?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Maana kila mtu anayo harufu yake.....
Hebu fikiria?
Utamwachia nawe upo taaban ...!
 
Kama huna harufu mbaya wala huitaji perfume. Mie huwa nikisafiri bibie huwa anavaa walau T-shirt yangu apate walau kaharufu kangu. So, harufu yako inaweza ikawa perfume yake. One a serious note perfume ni muhimu especially mnapotoka nje na kukutana na watu wengine. Na of course kwa wenye vikwapa. Mie kinachoni boa zaidi ni mdomo kunuka hii ni hatari ...........hahah
 
wenye vikwapa vyao,perfume ni kama anakizidisha!!!
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Hua vipi wakti wa malavUndevu?

Maalim unaambiwa ukipenda boga ufanye nini vilee,basi wajifanya cha kunukia kama uturi wa kidubai shuti wakilamba,ukitoka hapo bafuni kujitapisha hahahahahahaha!!!
 
Maalim unaambiwa ukipenda boga ufanye nini vilee,basi wajifanya cha kunukia kama uturi wa kidubai shuti wakilamba,ukitoka hapo bafuni kujitapisha hahahahahahaha!!!
hahah kama vipi wameza kabisa hahah maana kama umelamba tu wajitapisha nini ......hahah
 
Maalim unaambiwa ukipenda boga ufanye nini vilee,basi wajifanya cha kunukia kama uturi wa kidubai shuti wakilamba,ukitoka hapo bafuni kujitapisha hahahahahahaha!!!

Haya maproverbs hua yanaumiza mawazo yangu!

Upende boga na uwa lake?
Mhhhhhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…