MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
KabisaMkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
Yaah ni kweli mkuu.Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] amini hivyo mkuu.Mkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ujinga tyuuu
haaaa haaaa haaaaMkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
Tena Mbuzi katolikiMkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
Hapana.Kwahiyo Rickross pia amemshari Mobeto kupost intimacy pictures zake na Diamond?