Isingekuwa tax za Paris Mzee Kipchoge alikuwa anafia huko

Isingekuwa tax za Paris Mzee Kipchoge alikuwa anafia huko

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kwenye mbio za marathon kidunia huyu Eliud Kipchoge ndio GOAT anacho kila kitu anazo dhahabu,mshaba na fedha

Sio Olympic, commonwealth na kadhalika kote amepita na umri umemtupa mkono , kitendo cha kukomalia lazima akimbie mbele ya damu changa kimemtia aibu baada ya kuonekana hakuwa hata na nguvu achilia mbali kuonekana hakujiandaa kiufupi amefeli sana baada ya kuanguka njiani kushindwa hata kutembea na kuwaishwa kwa madaktari kwa tax za paris

USSR

FB_IMG_1723309502208.jpg
 
Wakina Simbu nao wazee ukiwauliza kwanini msiwaachie vijana wanasema sisi NI waajiriwa wa JWTZ...ona Sasa aibu waliyotuletea.
 
Back
Top Bottom