Chadema hakuna umalaya kama huo, msaliti ni msaliti tu.Watasamehewa na watagombea tena ubunge ndani ya CDM.
Siasa zetu ni hizihizi na watu ni walewale.
Muda utaongea tu.
PossiblyPamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM.
Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na kanuni kwamba unaweza kuhama chama lkn ukabaki na ubunge wako siku nyingi wangeshahamia CCM na leo wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa dharura wangepokewa CCM pamoja na Nyalandu.
Mbowe mwenye chama yupokwenye mipango hiyo wewe nani unaembishia Mbowe?Chadema hakuna umalaya kama huo, msaliti ni msaliti tu.
Lissu yupi? Hvi Lissu angehamia CCM unadhani asingekua waziri wa sheria kma kina Silinde au Waitara? Ndio aje kusettle kwa ajili ya viti maalum?Kwa jinsi siasa za kiafrika zilivyo hasa kwa upande wa upinzani,iwapo nafasi za viti maalum ingekuwepo na kwa upande wa wanaume,hata lissu saa hizi angekua bungeni,wale wadada wanaonewa wivu tu but hata wanaume wapinzani wana akili kama zile nafasi tu hawajapata
Ni taahira tu anaweza amini huo ugoro. Mbowe ni next level amehangaika Magufuli hadi anaenda motoni Mbowe kamuacha akiwa Chadema.Mbowe mwenye chama yupokwenye mipango hiyo wewe nani unaembishia Mbowe?
Ni taahira tu anaweza amini huo ugoro. Mbowe ni next level amehangaika Magufuli hadi anaenda motoni Mbowe kamuacha akiwa Chadema.
Kumbe tayari yupo motoni!? Afadhali.
Kwa jinsi siasa za kiafrika zilivyo hasa kwa upande wa upinzani,iwapo nafasi za viti maalum ingekuwepo na kwa upande wa wanaume,hata lissu saa hizi angekua bungeni,wale wadada wanaonewa wivu tu but hata wanaume wapinzani wana akili kama zile nafasi tu hawajapata
Ila sio ubunge ni fedha haramu wanazolipwa na Ndugai.Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM.
Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na kanuni kwamba unaweza kuhama chama lkn ukabaki na ubunge wako siku nyingi wangeshahamia CCM na leo wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa dharura wangepokewa CCM pamoja na Nyalandu.
Kinyume chake mkuu, Mama ni muumini wa siasa shirikishi za kistaarabu na jana katamka hilo.Salama yao hao covd19 ni kuomba radhi na kumtupia lawama hayati kuwarubuni, kisha maisha yanasonga nyumbani CDM.Hao Covid hata kama sio wote basi baadhi yao naamini kuna watakao kimbilia CCM. Samia alisema kuna wengine wanafuata baada ya Nyalandu.
Kwani mimi nimekataa mkuu,nachosemea hiyo opportunity ingekua na kwa wanaume kwa hizi siasa za kiafrika,aibu tungeona mimi na wewe mkuuHebu acha kuandika ujinga! Huyu ni ccm mbona hakupindisha maneno? Kwanini unaandika uongo? Kama kitu hujui kaa kimya au uliza ili ueleweshwe.
Utakuwa utopolo.Watasamehewa na watagombea tena ubunge ndani ya CDM.
Siasa zetu ni hizihizi na watu ni walewale.
Muda utaongea tu.
Huyu hamjui Lissu.Lissu yupi? Hvi Lissu angehamia CCM unadhani asingekua waziri wa sheria kma kina Silinde au Waitara? Ndio aje kusettle kwa ajili ya viti maalum?
Mkuu watu wame sacrifice vitu vingi kubaki upinzani.... Hasara alizopewa Mbowe hta Sugu mpaka hoteli manusura ivunjwe ndio sembuse wajitoe ufahamu kisa kiti cha ubunge?
Tatizo lenu mnadhani CHADEMA ni kama ACT au NCCR...... Kma wangeendekeza njaa hiki chama kingeshakufa toka 2013
Muda ndio utakaoamua.Hao Covid hata kama sio wote basi baadhi yao naamini kuna watakao kimbilia CCM. Samia alisema kuna wengine wanafuata baada ya Nyalandu.