GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Jibu zuri sana.Wewe wazee wako walikuwa wapi kipindi wazazi wa hao wanawawekea mazingira mazingira?
Tuache kulalamika
Na Abduli huyo anaingia toka uajemi.Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya:
1. Nape Nnauye
2. January Makamba
3. Riziwani Kikwete
Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa?
Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi?
Wangekuwa chini sana kisiasa na kiuchumi?
Wangekuwa kama walivyo leo kiuchumi, kisiasa na kiumaarufu?