Islam State (IS) wanataka nini Msumbiji?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina la Islam State? Yaani Call the dog a bad name then hang it.

Shabaha yao ni Nini na nani na Nani?

Kabla majirani hatujajiingiza humo lazima kwanza tujiridhishe Ni mapigano yenye lengo gani, na je, Ni Islam State kweli?
 
Haya ni masuala mtambuka kwakweli.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Uku kwetu wamestop uchakataji, wameamishia uwekezaji msumbiji. watakapo resume uchimbaji vurugu kama za KIBITI nazo watazirudisha tena....
Wanachotaka Ni kuhakikisha gesi ya afrika haiangukii mikoni mwa wachina na urusi
 
Mozambique na Congo hawana tofauti Wana laana ya maliasili kuwa nyingi na ujinga wa kutosha kutokujua Cha kuzifanyia....
Mozambique ni nchi ya kiislam . nchi ya kiislam ikiongozwa na asiye Muslim unategemea nini?
Asilimia kubwa msumbiji ni wakristo siyo waislam
Nchi ilijiunga OIC zamani sana, tofautisha "NCHI" VZVZ" WANANCHI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…