Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Imewahi kuletwa hebu pekua pekua
Kwani ubaguzi haukuwepo tangu awali? Mbona wakristu wanawabagua wenzao waislamu katika kutumia mabucha ya kitimoto?... waislam na mabucha ya wakristo nk
udini unanukia taratibu tu mwisho itabidi ianzishwe ya wakristo kisha daladala za waislam na mabucha yawakristo nk
huu ni upuuzi wa kutotaka kujifunza. Hii sio siasa ni business. Someni acheni porojo.madhara yake hamtayaona sasaivi, maradha yake yataonekana badaye...maumivu huanza poleple, hayaji haraka! mwenye akili na aelewe.
Mbona hili lipo siku nyingi!, kuna makanisa ambayo ni ya wakristo, kuna misikiti ambayo ni ya waislam, Ukienda makaburini kuna sehemu wanazozikiwa waislam pekee na sehemu wanazozikiwa wakristo pekee. Sasa kuna ubaya kuwa na huduma za kibanki zinazolenga toa huduma kwa misingi ya imani fulani?, kama biblia imekamilika kwa kila kitu na basi haitakuwa ajabu siku moja kukawa na huduma za kibank kwa misingi ya kikristo. Kitu muhimu ni kwamba huduma hizi si discriminative, kama wewe ni mkristo unataka huduma ya kiislam unapewa tu nobody ask your religion, kwani unapotaka huduma ni ridhaa yako kama ilivyo kuchagua imani unayoitaka. Kelele za nini?, au mnoahofia huduma hii kuwa popular na kuvutia interest za watu katika kuuelewa zaidi uislam?.
Bank z kawaida zinakuwaje na bank za umma zinakuwaje?, unaelewa unachoongea au una general knowledge ya vijiweni tu.tofautisha bank za kawaida na bank
tofautisha bank za kawaida na bank za umma....
tofautisha bank za kawaida na bank za umma...naona wewe ni mpya kabisa na mada hii, au ni mgumu kuelewa...rejea makaratasi kwanza kabla haujaja kuchangia kweney hii mada.
Stop Islamic banking. It supports jihad, just like eating halal food is participating in Allah's prayer. TZ don't be naive and agreed to this fiendish Jibilic tactic.
Wachungaji ni MBWA
ISAYA 56:10-12
So according na biblia wewe ni MBWAAA
huu ni upuuzi wa kutotaka kujifunza. Hii sio siasa ni business. Someni acheni porojo.