Islamic Dressing

Yaan hata mimi huwa najiuliza hili swali

Kuna wengine mchana na jua kali wanatembea nayo juani,huwa najiuliza hilo fukuto humo ndani si unaweza kuzalisha hata umeme

Na kwanini wanashona meusi

Ukute hiz nguo tumeiga tu zinavaliwa sehemu zenye baridi
 
Ukimkuta wa hivyo kama yuko really kwenye dini, hakika uta enjoy sana, maana wanakuwaga soft sana unaweza ukakesha nae sio kama wale wanaoacha mipaka nje imekomaa kama mninga

shida ni kile wanaume tunataka,hatuelewi.

unakuta unaacha ndani wa hivyo,unakwenda kuparamia papa ina sugu za mkorogo haieleweki.
 
Ndo mavazi ya heshima kwa mwanamke wa kiislamu,hayo mengine anayajua mwenye kuvaaa
Mnawalazimisha wengi hawayapendi..ni utumwa wa kukubaliana na imani za waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kinachochekesha hayo maagizo ya mavazi hayajaandikwa kwenye kuran, ni wivu tu na shida za wanaume wa arabia wakawalazimisha wanawake wavae hivi. Kuna story iliandikwa kuwa huko arabia bora mwanamke afiche uso na kuachia uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…