Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Nashangaa sana watu wa dizaini hiimbona kama wanajamii wanataka kugeuza uzi kuwa mjadala wa kidini, wazee mkiona uzi haujawavutia mnaenda katika nyuzi zinazowavutia msipanic
changamoto sanaNashangaa sana watu wa dizaini hii
Hapo ingewekwa picha mwanamke kakaa uchi....sifa zingekuwa kedekede.....lakini hapo wanaona kama vile wameoneshwa shetani
🤣🤣🤣Haki ya nani ,unashika paja gumu limekomaa, lina vipere vipere vingiii sababu ya kupigwa vumbi na baridi + moshi wa bodaboda