Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Wadau wa JF kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu huyu mbunge wa Tabora mjini na mwenyekiti wa Simba sc, kwamba aliwahi kuichezea Simba sc kwa mafanikio naomba anisaidie, kwani uchunguzi wangu unaonyesha hahuwahi kuichezea simba sc kwenye mashindano yoyote kama yeye mwenyewe anavyojinadi..ila kaka yake Mohamed Rage ndie aliyecheza mpira kwa mafanikio,
1.Aliichezea simba mwaka gani?
2.Alikuwa akicheza namba ngapi?
3.Aliichezea simba katika mashindano gani?
4.Picha yake aikwa na wachezaji wenzake wa timu ya simba sc
Naomba kuwasilisha
1.Aliichezea simba mwaka gani?
2.Alikuwa akicheza namba ngapi?
3.Aliichezea simba katika mashindano gani?
4.Picha yake aikwa na wachezaji wenzake wa timu ya simba sc
Naomba kuwasilisha