Ismail aden rage utata mtupu

Mwanagandila

Senior Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
182
Reaction score
100
Wadau wa JF kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu huyu mbunge wa Tabora mjini na mwenyekiti wa Simba sc, kwamba aliwahi kuichezea Simba sc kwa mafanikio naomba anisaidie, kwani uchunguzi wangu unaonyesha hahuwahi kuichezea simba sc kwenye mashindano yoyote kama yeye mwenyewe anavyojinadi..ila kaka yake Mohamed Rage ndie aliyecheza mpira kwa mafanikio,
1.Aliichezea simba mwaka gani?
2.Alikuwa akicheza namba ngapi?
3.Aliichezea simba katika mashindano gani?
4.Picha yake aikwa na wachezaji wenzake wa timu ya simba sc

Naomba kuwasilisha
 
Hii hoja ya kisiasa au kisport? Hili ni jukwaa la siasa unaleta michezo si ungeipeleka kwenye jukwaa la michezo, au walau hata jukwaa la hoja mchanganyiko.
 
Huyo jamaa ni msomali kwanza namshangaa hadi sasa hivi hajenda kuwasaidia jamaa zake wa al shaabab na ule mguu wa kuku aliopanda nao jukwaani kwenye kampeni Igunga. Aden Rage ni janga kwa Simba na Tabora
 
eeh hapo itakuwa kweli labda kacheza chandimu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…