Ismail Bayumi, Ronald Ngala, Tom Mboya na Bi. Titi Mohamed

Ismail Bayumi, Ronald Ngala, Tom Mboya na Bi. Titi Mohamed

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Leo asubuhi nimepita Maktaba. Siku zote nikiingia mtaa huu lazima nitapata jambo na jambo litazua jambo.

Nimekuta video ya majuma mawili mawili yaliyopita nilipofanya mahojiano nyumbani kwangu na Waandishi Maalum.

Nikawa naisikiliza.

Nikajikuta namzungumza Ismail Bayumi pamoja na Ronald Ngala na Tom Mboya wamekaa kitako wanashauriana vipi wapate msaada kutoka Tanganyika ili Jomo Kenyatta atolewe kifungoni.

Ningependa kuiweka tena hii video hapa ili ichochee fikra na kumbukumbu ya mashujaa wetu wakati wakipigania uhuru wa Afrika:

 
Picha ya kwanza ni Ismail Bayumi, Ronald Ngala, Tom Mboya na Bi. Titi.

Screenshot_20211106-082815_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom