the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli zinaweza kusubiri hadi wiki mbili ili kupata nafasi ya kushusha mizigo. Amesema jambo hilo lina athari kubwa husan katika kipindi hiki ambacho wananchi wanajiandaa kuelekea katika mfungo wa Ramadha.