the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali inapata 30% tu ya faida.
"Waliopo bandarini wanasema muwekezaji huyu hakuleta hata kalamu na karatasi na badala yake anatumia kalamu na karatasi alizozikuta bandarini. Haya yanafanyika huku muwekezaji huyo ambaye hakuwekeza chochote analamba 70% ya faida na serikali kupitia kwa shirikala bandari la Zanzibar iliyofanya uwekezaji wote uliotajwa ikiambulia 30% tu ya faida" - Ismail Jussa