the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Habari zingine ni za kuziepuka.Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali inapata 30% tu ya faida.
View attachment 3251677
"Waliopo bandarini wanasema muwekezaji huyu hakuleta hata kalamu na karatasi na badala yake anatumia kalamu na karatasi alizozikuta bandarini. Haya yanafanyika huku muwekezaji huyo ambaye hakuwekeza chochote analamba 70% ya faida na serikali kupitia kwa shirikala bandari la Zanzibar iliyofanya uwekezaji wote uliotajwa ikiambulia 30% tu ya faida" - Ismail Jussa
kwanini?Habari zingine ni za kuziepuka.
Tatizo la Jussa elimu yake ni Madrasa hiyo.30 percent ni shilingi ngapi kwa sasa? Na je kabla ubinafsishaji serikali ilikuwa ikipata shilingi ngapi? Tuanzie hapo kwanzaMakamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali inapata 30% tu ya faida.
View attachment 3251677
"Waliopo bandarini wanasema muwekezaji huyu hakuleta hata kalamu na karatasi na badala yake anatumia kalamu na karatasi alizozikuta bandarini. Haya yanafanyika huku muwekezaji huyo ambaye hakuwekeza chochote analamba 70% ya faida na serikali kupitia kwa shirikala bandari la Zanzibar iliyofanya uwekezaji wote uliotajwa ikiambulia 30% tu ya faida" - Ismail Jussa
Mwekezaji ni MwinyiMakamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali inapata 30% tu ya faida.
View attachment 3251677
"Waliopo bandarini wanasema muwekezaji huyu hakuleta hata kalamu na karatasi na badala yake anatumia kalamu na karatasi alizozikuta bandarini. Haya yanafanyika huku muwekezaji huyo ambaye hakuwekeza chochote analamba 70% ya faida na serikali kupitia kwa shirikala bandari la Zanzibar iliyofanya uwekezaji wote uliotajwa ikiambulia 30% tu ya faida" - Ismail Jussa
Operating costs ziko kwa mwekezaji yawezekana kabisa operating costs ni kati ya 20% na 40%.Tatizo la Jussa elimu yake ni Madrasa hiyo.30 percent ni shilingi ngapi kwa sasa? Na je kabla ubinafsishaji serikali ilikuwa ikipata shilingi ngapi? Tuanzie hapo kwanza
Kichwa chake kibovu ubinafsishaji sio lazima mtu aje na chochote zaidi ya uwezo wake wa kusimamia kampuni anakuja kama Manager wa kampuni kuwekeza skills zake kwenye hiyo kampuni kuwa nitahakikisha mapato yanaenda juu na serikali inapata zaidi ya ilichokuwa inapata
Asilimia haxiongei kitu sana aweke kwa hela kabla na baada ya ubinafsishaji
Wanasiasa wengi upinzani kwenye kuchambua takwimu wako zero ni kama ma roboti tu hawezi hata fuatllia kiundani why nkOperating costs ziko kwa mwekezaji yawezekana kabisa operating costs ni kati ya 20% na 40%.