said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Asante kaka so niache kunywa au maana hospital mpka jumatatu ndo nataka niende maana kwa sasa financial siko sawa sanaHiyo dawa ukiitumia inatakiwa ikupunguzie hayo maumivu mkuu
Kama haikusaidii nadhani ni vema urudi hospitali
Na pia jitahidi upumzike usifanye shughuli nzito yeyote
pole mkuu, naomba kujua umri wako... je una pressure ya kupanda ?Naomba kuuliza nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la left ventricular hypertrophy nikapewa dawa tajwa hapo juu lakin now ni napata maumivu makali kama moto tangu jana usiku ila kabla sijaanza kutumia ilikua ina una upande mmoja n then I naachia but tangu jana usiku ni too much na hapa sina hela ya hospital mpka jumatatu naweza pata ushauri gani wakuu naomba msaada wenu
OK kakapole mkuu, naomba kujua umri wako... je una pressure ya kupanda ?
uzito wako kilo ngapi ?
miguu inavimba ?
umesha wahi kupima madonda ya tumbo ?
ulifanya kipimo gani ECHO ?
kwa mahojiano zaidi ni PM