Isosorbide dinitrate, asperem 75

Isosorbide dinitrate, asperem 75

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Posts
62
Reaction score
28
Nilienda hospital nikaambiwa ninatatizo la kwenye moyo yani left hypertrophy nikapewa dawa hapo juu ila tangu nianze kuzitumia ni kweli mguu wa kushoto ulikua unauma sana kabla now hauumi ila kwenye kifua napata maumivu makali dsain ya moto ya hama hama kushoto na kulia ya kifua na kichwa kinauma nataka kujua niache kutumia au nifanyaje
 
Huku Tukiwasubiri Waje Watujuze

Mkuu Ingekuwa Vizuri Zaidi Ukarudi Kwa Daktari Na Kumuelezea Effect Unazopata Baada Ya Kuanza Kutumia.
 
Hizo dawa zilikuwa na inserts ya kuelewa dosage, contraindications... side effects etc?

Mi ningekushauri ukisome ukielewe Lama hakieleweki rudi kwa Cardiologist aliekuandikia dawa na uzibebe zilizobaki umueleze unachopitia.

Pole bro. It shall be well.
 
Asante kaka mungu akubariki
 
Huku Tukiwasubiri Waje Watujuze

Mkuu Ingekuwa Vizuri Zaidi Ukarudi Kwa Daktari Na Kumuelezea Effect Unazopata Baada Ya Kuanza Kutumia.
Yes nataka nifanye hivyo next week coz now financial siko sawa ila I hope next week ntaenda
 
Hizo dawa zina side effect kubwa. I abandoned them after having problems with them. I went back to my doctor ad she told me to stop taking them.
 
Na ww ulikua na the same problem like me??
 
Back
Top Bottom