said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Asante kaka mungu akubarikiHizo dawa zilikuwa na inserts ya kuelewa dosage, contraindications... side effects etc?
Mi ningekushauri ukisome ukielewe Lama hakieleweki rudi kwa Cardiologist aliekuandikia dawa na uzibebe zilizobaki umueleze unachopitia.
Pole bro. It shall be well.
Yes nataka nifanye hivyo next week coz now financial siko sawa ila I hope next week ntaendaHuku Tukiwasubiri Waje Watujuze
Mkuu Ingekuwa Vizuri Zaidi Ukarudi Kwa Daktari Na Kumuelezea Effect Unazopata Baada Ya Kuanza Kutumia.
Hizo dawa zina side effect kubwa. I abandoned them after having problems with them. I went back to my doctor ad she told me to stop taking them.Yes nataka nifanye hivyo next week coz now financial siko sawa ila I hope next week ntaenda
Na ww ulikua na the same problem like me??Hizo dawa zina side effect kubwa. I abandoned them after having problems with them. I went back to my doctor ad she told me to stop taking them.
severe headache na maluweluwe! moyo kwenda mbioNa ww ulikua na the same problem like me??
Ni kweli ulivyoacha ilikuwajesevere headache na maluweluwe! moyo kwenda mbio
all complications vanished! nenda wakubadilishie dawa ya angina..Ni kweli ulivyoacha ilikuwaje
OK broall complications vanished! nenda wakubadilishie dawa ya angina..
all complications vanished! nenda wakubadilishie dawa ya angina..