Israel haitapeleka mjumbe hata mmoja kumzika Papa Francis

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Gazeti lenye mrengo wa serikali ya Israel la Haaretz limesema nchi hiyo haitapeleka kiongozi yoyote kuiwakilisha kwenye mazishi ya papa Francis anayetarajiwa kuzikwa hapo kesho.

Utawala wa nchi hiyo mara nyingi umekuwa ukimuona papa Francis kama mtetezi wa wapalestina.

Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani mara nyingi alikuwa akiwapigia wafuasi wake kwenye kanisa mashuhuri Gaza kuwatia moyo katikati ya maumivu ya kuuliwa na kuvunjiwa majumba yao.

Israel will not send representative to Pope Francis’s funeral:
Israeli newspaper Haaretz is reporting that the Israeli government will not send any of its leaders to attend the late pope’s funeral, to be held tomorrow.

PM Netanyahu and his government ministers were highly critical of the pope during Israel’s war on Gaza, as Francis was vocal about the killing of civilians and the withholding of aid.
aljazeera
 
Mbona hujasema Israel itawakilishwa na Balozi wake wa Vatican?
 
mashoga hatuwataki ktk msiba ya mtu mtakatifu kama papa
 
Wewe upo upande gani?
 
Most major nations will be sending heads of state or government, or royalty, to Pope Francis’s funeral on Saturday, but Israel will be represented only by its ambassador to the Vatican.

The decision to keep the representation at about the lowest level possible is a sign of how far Israel’s relations with the Vatican have deteriorated since the start of the war with Hamas in Gaza in 2023, diplomats say.

It also follows an Israeli government decision to delete a social media post that had offered condolences for the pope’s death.

Live Update
From the Liveblog of Wednesday, April 23, 2025

Israel to send low-level representation to pope’s funeral​

​

By Reuters23 April 2025, 8:19 pm
 
Nimesoma kutoka Uingereza, wanasema Israel ataenda balozi wao wa Vatican. Ila huyo Neta alituma salamu za rambirambi kama sikosei jana.
Hakuna aliyepelekwa.Balozi naye ngoja tuangalie kama atahudhuria kweli
 
Hata wasipopeleka kwani wao nani?...nothing special at all!
Kusema wanaua Raia ni Uongo?
Wana mambo ya kise.nge sana hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…