Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu.
Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio maana wanarusha makombora ya katyusha mpaka 200 kwa siku ambayo yanapiga kambi za jeshi la Israel kaskazini yote na kuchoma moto maeneo ya misitu na majumba.
Wanachofanya Israel ni kuzima moto na hawakanushi ya kuwa wamepigwa na makombora yamepenya bila kudakwa na Iron Dome.
Hali hiyo inatokea wakati ambapo makundi mengi hasimu ya Israel kama vile Taliban na mengine mengi yameshatangaza kupeleka vikosi vyao Lebanon kuiunga mkono Hizbullah.
Wakati huo huo hayo yanatokea wakati Marekani inakaribia uchaguzi hapo mwezi Novemba na haipendelea vita baina ya Israel na Hamas viendelee mpaka wakati huo wala kulazimikia kutumia gharama kubwa kuilinda Israel baada ya kufanya hivyo kwa muda wa miezi 9 bila mafanikio huko Gaza.