wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel kama October 7 walilenga zaidi kuua raia yeyote lengo likiwa kuua waisrael wengi kadri iwezekanavyo, ni kawaida Hamas kurusha roketi elf 5 ndani ya usiku moja lakini unajua ni nini kitatokea Israel ikijibu kwa kurusha hata roketi 500 kulenga makazi ya watu Gaza ? wapalestina si chini ya laki 5 watapoteza maisha.
Mifano hai tunazidi kuendelea kuiona, Rais wa Iran alikuwa ni mfadhili mkubwa wa mashambulizi dhidi ya israel indirectly kupitia Hamas, Hezbulah, n.k. kilichomkuta alituguliwa juu kwa juu kwa teknolojia ambayo hadi sasa haijajulikana, Hii yote ni kupunguza civilian casualities, hakukuwa na haja ya kuilipiua ikulu ya Iran ama msafara wa rais.
Hii leo tena kiongozi wa Hamas katunguliwa na mlinzi wake kwa teknolojia ambazo hadi sasa hazijulikani, wameishia kufanya makadirio tu, , hakukuwa na haja kumvizia kiongozi wa Hamas akiwa kwenye sherehe kuanza kumwaga risasi.