Israel itasaidia Lebanon irudi kama zamani kuwa Phoenicians Christian Country Arabs must go back walikotoka wasumbufu

Propaganda,

Wakristo wa Lebanon ni Maronite na Greek Orthodox, leta statement za Hayo Makanisa,
 
Israel yenyewe haitambui huo ukristo
Israel/jacob asingeweza kuutambua ukristo. Lakini Israel kama nchi mule asilimia kubwa ni wayahudi wanaofuata ni waislam na wachache ni wacristu. Katika nchi hiyo kuna wajukuu wa Waarabu na wajukuu wa Jacob. Sielewi munieleweshe wakati wa jacob hao waarabu walikuwa dini gani?
 
Wameshachelewa , kobaz Huwa Wana mbinu Yao moja wakiingia sehemu wanaanza kuzaliana kwa wingi ili kupongeza idadi ya watu ambao watakuwa msaada mbeleni.
 
Walebanon wamechoshwa na ugaidi wa Hezbollah, wamechoshwa kutumika na Iran. Ni Muda sasa wa kuwafurusha magaidi
 
Propaganda,

Wakristo wa Lebanon ni Maronite na Greek Orthodox, leta statement za Hayo Makanisa,
Ondokeni kwenye ardhi za wakristo magaidi nyie...

Ungekua ukristo ni kumfuata Yesu usingeonesha ujinga wa swali lako..

Community hazibadilishi ufuasi Yesu alisema sio wote wanaitaja taja jina lake na kuamini ndio watakuwa nae Milele bali wale wanao amini,kufuata mafundisho yake na kutatrkeleza.

Nyie Waislam wa Suni mnasema Shia sio waislam hahaha

And huwa mmajidai mpo wengi ila ukianza kuwauliza wanasemana wao kwa wao sio waislam
 
Nyio ndio mliokuwa brainwashed na hao wa Israel, Damu za wakristo wenzenu zinamwagika badala ya kuwatetea mnamtetea muovu, then waisilamu wanamwaga Damu zao kuwatetea hao wakristo, unategemea hao wakristo watakuwa upande wa Nani?

Hayo madhehebu ya middle East ya Kikristu yasingekuwepo leo isingekua waisilamu, miaka na Miaka DOLA ZA ulaya zinayapiga vita ila ni waisilamu ndio wanawalinda.

Badala ya kupayuka ujinga angalau siku moja moja kaa chini usome Historia yao na mahusiano yao.
 
Nyio ndio mliokuwa brainwashed na hao wa Israel,
Umetoa shambulio kama mtu aliyelewa chang'aa.. Unaposema brainwashed lazima uelezee nini haswa maana kama ni Dini Uislam pia unaamini Uyahudi kuwa umeanzishwa na Allah ila Uyahudi hawaamini Allah ambaye ni Sanamu kama Baali tu.

Ukristo umeanzishwa na Myahudi Jesus na Wanafunzi wake ni Wayahudi pia. Sasa hapo brainwashed ni nani kati ya Waislam au Wakristo...

Waislam wanawachukia Wayahudi wakati Allah alipowaambia Mswali mara 50 kwa Siku jew ndio walimpa busara Mudy amuambie Allah asiye na busara kuwa waumini hawatoweza bali wataweza mara tano.. Allah akakubali.
So Waislam ndio brainwashed.
Damu za wakristo wenzenu zinamwagika badala ya kuwatetea mnamtetea muovu,
IDF anapiga Hezbollah so hata kama kuna Wakristo huko Lebanon wanashabikia na kuwasadia Hezbollah watadedi tu.. Ugaidi unajibiwa na ugaidi ndio Dawa.. zama za kujificha kwenye human right wakati wewe huna sifa hizo.. wacha zidundwe tu mmishe au mkome PU zenu.
then waisilamu wanamwaga Damu zao kuwatetea hao wakristo,
Kina nani hao na Quran aya ipi inayosema? nakupa maneno waliyosema Waislam kuhusu Wakristo wa Lebanon ndio mjijue wanafiq nyie msio aminika na kwanza Dini yenu haiwaruhusu kusema ukweli kwa non Muslims.
unategemea hao wakristo watakuwa upande wa Nani?
Ukristo utabakia upande wa upendo hauna haya ya ku attack mtu ila hali ikitishia usalama watashika upanga kumpiga Shetani Hezbollah.. ila kama hamna tishio Amani hadi kiama..

Muslim muache zile Salam za kinafiq eti Aslaam Aleykum.. (Amani iwe nawe) hamfananii nayo be open mlivyo jionesheni msijifiche kwenye migongo ya wenye dini za haki na upendo jews na Christian.. Torat na Injil haviwahusu.. Jiwe la Kaaba ndio Mola wenu.
Hayo madhehebu ya middle East ya Kikristu yasingekuwepo leo isingekua waisilamu,
Kasome historia vizuri mlikaribishwa mkaleta ubabe na mmegoma kuondoka, Lebanon,Syria,Jordan na Iraq, pia Pesian na Uturuki hazikuwa Islamic Country hata katika Uislam Mtume wenu alisema Waturuki ni maadui wa Uislam hadi kiama. Ukristo umesurvive kwa kuilipa kadi Jizra ili kunusulika hakuna haki katika uislam.. ISIS walionesha picha halisi maisha ya mtume wenu Syria na Iraq kuchinja,kulipa kodi, kukata mikono, kusali kwa lazima n.k
miaka na Miaka DOLA ZA ulaya zinayapiga vita ila ni waisilamu ndio wanawalinda.
Unaongea Historia ipi wewe.. Dola za Ulaya kwani zilikuwa zinateketeza watu? zaidi ya Slavery? Ukristo na uyahudi umepona middle east kwa sababu ya pesa tu.. nothing more
Badala ya kupayuka ujinga angalau siku moja moja kaa chini usome Historia yao na mahusiano yao.
Lete kitabu au link tusome wote we are not naive kufuata eti umesema hiki au kile.. Kasome pact ya omary alipoingia Jerusalem ujue uislam ni unyama... Wadhani Netanyahu aliposema Hamas are human Animal alibahatisha?
 
Rudia Soma juu hadi jini unaonesha loyalty yako ipo kwa nani naku quote

"IDF anapiga Hezbollah so hata kama kuna Wakristo huko Lebanon wanashabikia na kuwasadia Hezbollah watadedi tu"

Mkristo wa kweli hata siku moja hawezi shabikia mkristo mwenzake kufa na Huyo Yesu kizazi chake ndio Hao wakristo wa Lebanon na Palestina, na wayahudi wa zamani ndio hao waisilamu na wakristo wa Palestina. Sababu kuna wazungu wamekuja hapo na kujiita Waisrael hakuondoi legitimacy ya wakazi wa hapo kuwa ni descendant wa Wayahudi wa zamani.
Unaongea maneno mengi unaruka huku nankurukia kule, jifunze kwanza kujenga hoja. Humu kuna watu wazima ambao hawana time kujibizana na watoto

Kasome
1. Roma ilipovamia Egpty na kuua Wakristo hadi mapapa wao wakakimbia, Waisilamu kuja Egpty kuwa piga waroma na kutetea Dhehebu la Copts mpaka leo Copt ipo Egpty bila intervation ya waisilamu lisingekuwepo hilo Dhehebu, nakupa source ya website ya kanisa

"The Arab Conquest of Egypt: before Pope Benjamin I, all the patriarchs of the See of St. Mark resided in Alexandria
– During his papacy, Cyrus (Al-Muqawqis) became the Melkite patriarch and the Byzantine prefect of Egypt under Emperor Heraclius, controlling the state and the patriarchate; he persecuted the believers, and arrested Pope Benjamin’s brother, Mina, whom he tortured severely, burned his sides, then drowned him to death
– When Amr Ibn Al-Aas during the reign of Umar Ibn Al-Khattab came and conquered Egypt, he captured Alexandria and vowed peace to the Pope, thus, the Pope came out of hiding as he was for 13 years and received all the captured churches and properties as commanded by Amr"

Hio inatoka official kwenye website yao wenyewe copts

2. Crusaders walipovamia Jersualem
Crusaders walivyotoka Ulaya na kuvamia Jerusalem waliua watu wote Jews, Waisilamu, wakristo wa hapo etc, mpaka Salah Din alipotoka Egpty na ku free hilo eneo na kuwa rudisha wakristo wote ambao waliouliwa na Crusaders ikiwemo wa Ethiopia. Ni historia ndefu Kaangalie Video za Roy Casagranda prof wa Historia Middle East toka Austin Texas kama unataka kujua Ukweli utoe takataka za Propaganda.


View: https://m.youtube.com/watch?v=c6c5W2RsvkE
Lete kitabu au link tusome wote we are not naive kufuata eti umesema hiki au kile.. Kasome pact ya omary alipoingia Jerusalem ujue uislam ni unyama... Wadhani Netanyahu aliposema Hamas are human Animal alibahatisha?
Omar kaingia Jerusalem akalinda Makanisa ya Hapo, kabla ya Omar walikua na Hali gani hayo Makanisa? OMAR kuna Familia kaikabidhi funguo ya Makanisa wayalinde, jamaa wanafungua asubuhi wanafunga usiku toka wakati wa Omar hadi leo, baba akifa anamrithisha mwanae.


Na jambo jengine la mwisho hakuna Msyria, Lebanon ama Palestina ambaye ni mlowezi kama anavyosema Netanyahu, hayo mataifa ndio OG watu wa kanaanite proved by Science na Netanyahu ni wavamizi Proved by science,
 
Israel/jacob asingeweza kuutambua ukristo.
Unapoandika Israel/Jacob lazima uwe muumini wa Ukristo na sio Uislam Allah hana Akili kufahamu maana yake maana kwenye Quran kaadika kwa kusikia tu alianza tu na Story Israel ila hajui kuwa ni Jacob. so Muulize kwanza Akupe jibu who is Israel katika Quran ndio uje na swali lako la kijinga same na Allah na Mudy.. ungekuwa na akili ungejua age ya Jacob na Christianity ni mbali sana yaani ni thousands of years huna tofauti na Allah kusema Baba yake Musa na Aaron ndio baba mmoja na Mariam mama yake Yesu.. yaani Yesu amuite Musa Ankal... upumbavu wa Quran hauna kipimo... so usitumie time machine kuuliza swali
Lakini Israel kama nchi mule asilimia kubwa ni wayahudi wanaofuata ni waislam na wachache ni wacristu.
Unauliza au unatoa maelezo unaleta unnessessary words uonekane umeongea tu but useless
Katika nchi hiyo kuna wajukuu wa Waarabu na wajukuu wa Jacob. Sielewi munieleweshe wakati wa jacob hao waarabu walikuwa dini gani?
all muslims huwa hawaelewi ndio maana Quran imewaambie wakichanganyikiwa wawaulize watu wa Kitabu.

Waarabu wana historia ndefu tafsiri ya Arab ni watu wanaoishi kwa kuhama hama jangwani na ndio mabedui aka beduin hao ndio Original Arabs, Wajukuu wao Historia yao ni Wapagani waabudu masanamu na uchawi tu eneo linaitwa Bakka.
 
Mohammad hajawahi kujiita Mungu
 
Israel yenyewe haitambui huo ukristo
Wakristo wa bongo wanavoangaika na shobo juu ya wayahudi mpk inakua vichekesho
Wanataman wayahudi wawe kama wao ila ndio jamaa hawana shobo na ukristo hata kidogo coz wanajua ni dini fake ,,,na hiii kitu wakristo hawataki amini
 
Hakuna dini yenye vituko kama ukristo .
Mpk leo hamumjui mungu wenu ni yupi
.yesu kuna wengine wanamuona ndio mungu kuna wakristo wangine wanamuita nabii
Chimbuko la dini yenu limeletwa na mwanafunz badala ya nabii asa hii si kituko jmn
Wayahudi wanamtaja Ibrahim
Waislam wanamtaja Muhammad
Nyienamtaja yesu na kumfata paulo
,,ebu chunguza dini yako vizur kabla ujaingia kwenye dini za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…