maalim leo ni ijumaa,nenda kaswali allah akujalie akili.
please,usimuombe allah afya njema,utajiili ama mke we mwombe akili tu mengine yatajitatua menyewe
Muslim wanazaliana mno. yaani hata Marekani na Ulaya wanaongezeka mno, Mafundisho ya mtume wao wingi wa uzao ndio ukubwa wa Umma wa Kiislam... ila cha kushangaza Pemba haijai na wao ndio wanasifa ya kuzaliana... au siri wanahamia bara