Israel launches deadly Gaza attacks

Something isn't right hapa...wazo langu la kwanza ni kundi lingine na sio Hezzies.
2 light injuries reported.
Rockets hit at 7:30am local time as kids prepare to go to school.
Classes in Nahriya are canceled.
 
Hivi wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani southern Lebanon wamesharudi ama bado wako uko?
Both Al-Jazeera and Al-Arbiya are reporting that "Israeli sources do not believe that Hezbollah was behind the rocket barrage"
 
This is not good at all,
 
Ona hii tena:

"Initial investigations indicate that Hamas terrorists fired mortar bombs from the area of the school towards Israeli forces, who returned fire towards the source of the shooting. The Israeli return fire landed outside the school. Intelligence indicates that among those killed were Immad Abu Iskar and Hassan Abu Iskar, two known Hamas mortar crewmen."
 

Hivi hawa hamas wanafuraishwa nanini baada ya hao watu wasio na hatia kufa? Kwanini wajifiche kwenye makazi ya watu huku wakichokoza Wayahudi?
Hamas walaaniwe kwakuwaletelezea wapalestina.
 
Nimepata habari saa 7 mchana kupitia Sauti ya Ujerumani kuwa Israel imeshambuliwa na makombora kutoka nchini Lebanon.

Je, Hizbollah wameanza tena vita? Au ni Hamas wanapigana kupitia Lebanon ili vita visambae eneo zima la Mashariki ya Kati baada ya kuona hakuna uungwaji mkono wa kutosha kutoka mataifa mengine ya kiarabu? Yawezekana vita kati ya Israel na Hamas vikasambaa na kuzihusisha nchi nyingine za Kiarabu kama 1967?
 
Lebanese militants fired at least three rockets into Israel early Thursday, threatening to open a new front for the Jewish state as it pushed forward with a bloody offensive in the Gaza Strip that has killed nearly 700 people.

Two people were lightly injured, and the rockets that exploded in Israel's north raised the specter of renewed hostilities with Hezbollah, just 2 1/2 years after Israel battled the guerrilla group to a 34-day stalemate. Hezbollah started the 2006 war as Israel was battling Palestinian militants in Gaza.

No group claimed responsibility and Lebanon's government, wary of conflict, quickly condemned the rocket fire. Israel fired mortar shells into southern Lebanon in response.

For a second straight day, Israel said it suspended is Gaza military operation for three hours to allow in humanitarian supplies.

In new fighting Thursday, Israel killed at eight people, including five militants, raising the death toll from its 13-day offensive to 696 people, according to Palestinian medical officials.

The offensive is meant to halt years of Palestinian rocket attacks on southern Israel, but with roughly half the dead believed to be civilians, international efforts to broker a cease-fire have been gaining steam.

One of the Lebanese rockets went through the roof of a retirement home in Nahariya, about five miles from the border, and exploded in the kitchen as some 25 residents were eating breakfast in the adjacent dining hall. One resident suffered a broken leg, another bruises, apparently from slipping on the floor after emergency sprinklers came on.
"The rocket entered through the roof, hurling the water heaters into the air. It went through bedrooms upstairs and then into the kitchen. There was a serious blast," said Henry Carmelli, the home's manager.

About three hours later, air-raid sirens went off again. Residents in two northern towns reported explosions of incoming rockets, though some reports suggested there had been a false alarm. Police said they were searching for the fallen projectiles.

Israel has repeatedly said it was prepared for a possible attack on the north since it launched its bruising campaign against Hamas militants in Gaza on Dec. 27. Israel has mobilized thousands of reserve troops for such a scenario, and leaders have warned Hezbollah of dire consequences if it enters the fighting.

Lebanese Prime Minister Fuad Saniora condemned both the attacks and Israel's retaliatory fire. The attacks are "the work of parties who stand to lose from the continued stability in Lebanon," Saniora said.

Hezbollah, which did not comment, has said it does not want to draw Lebanon into a new war. Small Palestinian groups, who have rocketed Israel twice since the end of the 2006 war, have recently threatened to open a new front against Israel if the fighting in Gaza continued.

An Israeli Cabinet minister, Meir Sheetrit, suggested that Lebanese splinter groups, not Hezbollah, were responsible. He said the government had no interest in renewing hostilities.

"Even though we have the ability to respond with great force, the response needs to be carefully considered and responsible," Sheetrit told Army Radio. "We don't need to play into their hands."

Shortly after the first rockets fell around the town of Nahariya, five miles south of the Lebanese border, Lebanese TV stations reported Israeli mortar fire on open areas in southern Lebanon. The Israeli military confirmed it carried out "pinpoint fire" in response without elaborating.
Source:Associated Press(AP).
8th Jan 2009:
 
Nadhani ni mkakati wa kupata huruma ya jumuia ya kimataifa....kupitia mauaji ya waiso na hatia. Na kwa hili nadhani wanafanikiwa sana, maana kila mtu analaani mauaji ya wasio na hatia yanayofanywa na IDF na kutaka "IDF iache kuishambulia Gaza" (awali) na sasa angalau wanasema "mapigano yaachwe."
 
The Israeli military confirmed it carried out "pinpoint fire" in response without elaborating.

Honestly speaking this was not enough. By deal dealing with lebanise ..it will tend to reinforce them...on that zone. If Israel has capability...they should have given a massive response to make them no to do it again. The firm and massive attacks allways ...reduces the time and cost of the war and stop nonses ...firing from the opposite side.
 
israel ni nchi yenye nguvu sana. inao uwezo wa kupigana hata na mataifa yote sama makubwa ya waarabu kwa mkupuo na kuwashinda. unakumbuka vita ya six day war 1967? kitu kimoja ambacho huwa najiuliza, utakuwa hamas au hezbolah wanasema wamewashinda waisrael, mfano walisema wameshinda vita ile iliyopita, lakini maelfu ya majengo yamebomolewa Gaza au Lebanon, watati majengo machache sana yamebomolewa israel. watu zaidi ya 1000 walikufa lebanon, lakini israel hata ishirini hawakufika. kwasasa, zaidi ya watu 500 wamekufa Gaza, lakini waisrael hata kumi hawajafika. sasa, hiyo vita ambayo ninyi waislam huwa mnasema mtawashinda waisrael ni ushindi wa aina gani wakati israel huwa wanaamua kusitisha vita ili wasiwamalize, manake wanawaua kama wadudu tu.israel inao uwezo wa kuivamia tena lebanoni ili kuendeleza vita pande zote mbili. vile vile hata iran. kuna uchaguzi mwezi ujao kule, na viongozi wamelaumiwa sana kuhusu ile vita ya lebanon, kwamba hawakupigana vizuri, wanasema wamejifunza kutokana na makosa. hivyo, there is no threat to israel whatsoever, hata mataifa yote ya waarabu yainuke, hata magaidi wote na osama waibuke, israel wanao uwezo kukabiliana nao.

time has come to muslim countries, kujifunza kutoka israel. hii ni nchi pekee yenye ustaarabu wa kiuchumi mkubwa sana mashariki ya kati, wamegeuza jangwa kuwa ardhi, na ni exporter wakubwa ma chakula nchi za ulaya. wamefanya maendeleo makubwa mno, na nchi za kiarabu zinatakiwa kujifunza na kuungana nao ili wajifunze toka kwao. kwasababu wao hawategemei mafuta tu kama walivyo waarabu. waarabu wakikata mafuta, watakula mawe na mchanga wa jangwani, manake hata kuigeuza ardhi kuilima hawawezi. kuipinga israel hawatakuja washinde. kuifuta israel kwenye ramani ya dunia haiwezekani, wanajilisha upepo tu, wataishia kutoa huo upepo vibaya....
 
israel wanao uwezo wa kuwapiga Gaza pamoja na Lebanon, hata mataifa yote saba ya waarabu waungane, watapigwa tu kama ilivyokuwa ile six day war mwaka 1967. they learnt a lesson ndio maana mataifa makubwa ya waarabu pamoja na kiburi chao chote cha hela na mafuta, wanakaa kikao kila siku, hawana la kuamua. kama yangekuwa mataifa mengine, wangeunganisha majeshi yao ili waivamie ile nchi ndogo na watu wasiofika hata million kumi. kitu kizuri wanakifahamu ni kwamba, israel inalindwa na Mungu, na hata wafanye nini, hawana uwezo wa kuipiga. israel wanao uwezo wa kufanya vita na Gaza pamoja na lebanon, na iran kwa pamoja. na kitu cha muhimu kwa iran, ni kukaa mbali na jambo hili,kwasababu israel imetega mtego, should iran pope its nose on that issue, israel watailipua iran na nuke yake. huu ni mtego ndo maana ahamadinejad kimya muda wote huu.

it is good news kama lebanon nao wameanza, kwasababu tutawaona waarabu wakisagwasagwa kama mahindi mbele ya macho ya ulimwengu muda si mrefu. Mungu ibariki israel millele.
 
huyu ni rais aliyelaaniwa, ni mmoja wapo wa watu watakao kuja kuharibiwa na hasira ya Mungu itakayo kuwa siku ya vita ya gogu na magogu. pale Russua, waarabu na nchi zinazosapoti urusi zitakapokuja kuipiga israel. Mungu aliyeumba mbingu na nchi, ataishinda hii vita yeye mwenyewe, na wote hawa watakuwa makapi. ole wako. Mungu ibariki israel. amina.
 
.... na kitu cha muhimu kwa iran, ni kukaa mbali na jambo hili,kwasababu israel imetega mtego, should iran pope its nose on that issue, israel watailipua iran na nuke yake. huu ni mtego ndo maana ahamadinejad kimya muda wote huu.

Mwana wa Mungu!

Hii ni statement kubwa!

Nafikiri Iran wako mbioni kusimamisha Nuke zao! Kusema kuwa watalipuliwa kirahisi sana... Ok lakini sifikiri kama mambo yakiendelea hivi wataweza kukaa kimya.
 
Iran wakiingilia kwa kuwasaidia magaidi ya kihamasi, ndio kitakuwa kiama cha Iran na Ushia wao. Waebrania watawamaliza kabisa maana wanawatafuta muda mrefu sana kutokana na kidomodomo chao wairan. Karais kao (iran) kiherehere amekaa kimya ajaribu kaone
 
Wa-zayuni, ninawaungeni mkono. Hawa wafilisti wa kihamasi wataendelea kuwasumbua. wamalizeni kabisa.
 
Israel accused over Gaza wounded
BBC News Online​

Thursday's Israeli bombardment was the heaviest so far
The Red Cross has accused Israel of failing to fulfil its obligation to help wounded civilians in Gaza.

ICRC staff found four weak and scared children beside their mothers' bodies in houses hit by shelling in Zeitoun.

The Israeli military has not yet responded to the accusation, but said it worked closely with aid groups so that civilians could get assistance.

Meanwhile the UN said it was suspending aid operations in Gaza because of the danger to staff from Israeli attacks.

"We have suspended our operations in Gaza until the Israeli authorities can guarantee our safety and security," said Chris Gunness, spokesman for the United Nations relief agency Unwra.

"Our installations have been hit, our workers have been killed in spite of the fact that the Israeli authorities have the co-ordinates of our facilities and that all our movements are co-ordinated with the Israeli army.

"It is with great regret that Unwra has been forced to make this difficult decision."

Earlier, Unwra said one person had been killed and two injured when a fork-lift truck on a UN aid mission came under Israeli tank fire at Gaza's Erez crossing.

The Israeli military must have been aware of the situation but did not assist the wounded - neither did they make it possible for us or the Palestinian Red Crescent to assist the wounded

Pierre Wettach
ICRC head for Israel and the Palestinian territories


In pictures: Gaza conflict
Gaza 'human shields' criticised
Israelis back Gaza action - for now
Points of view on Gaza
The UN says the delivery had been co-ordinated with Israel.

The Israeli army has not commented on that claim but has said it is looking into the matter.

The aid agencies' concerns come amid fears the conflict with Gaza militants may spread, with at least three rockets fired from Lebanon into northern Israel, prompting Israel to reply with artillery.

The incident followed Israel's heaviest bombardment so far of Gaza in nearly two weeks of conflict, with 60 air strikes targeting Hamas facilities.

Palestinian medical officials said at least 10 Gaza residents had been killed on Thursday.

More than 700 Palestinian and 11 Israeli lives are said to have been lost since the offensive began 13 days ago.

For a second day, Israeli forces observed a three-hour pause in fighting to allow humanitarian aid into Gaza.

The first of what Israel said would be a daily ceasefire, on Wednesday, allowed aid agencies into the territory for the first time in days.

Efforts have continued to broker a full ceasefire - a senior Israeli official is in Cairo to hear details of a plan put forward by Egypt and France.

A Hamas delegation is expected in the Egyptian capital at some stage for parallel "technical" talks, Egyptian diplomats said.

'Access denied'

The International Committee of the Red Cross accused Israel of failing in its international obligations after its staff were met with "shocking" scenes.

GAZA CRISIS BACKGROUND



Profile: Gaza Strip
Who are Hamas?
In pictures: Tunnel smugglers
Middle East conflict: History in maps
One medical team found 12 bodies in a shelled house, and alongside them four very young children, too weak to stand, waiting by their dead mothers, the ICRC said.

Aid workers had been denied access to the site for days, it added.

"This is a shocking incident," Pierre Wettach, ICRC head for Israel and the Palestinian territories said in a statement.

"The Israeli military must have been aware of the situation but did not assist the wounded. Neither did they make it possible for us or the Palestinian Red Crescent to assist the wounded."

Correspondents say the criticism is unusually strong, coming from an agency considered to be neutral.

The Israeli army told Reuters news agency that any serious allegations would be properly investigated once a formal complaint was received.

Meanwhile, Amnesty International accused both sides of using civilians as human shields.
 
Hii article inaweza kuwa iko insensitive kwa kiasi fulani...
The Gaza blame game - Los Angeles Times
 
Wadau hii habari imenisikitisha sana!!sasa hawa wamekosa nini??
Israel leaves wounded to die
"The Red Cross demands immediate access into Gaza from Israel, after its aid workers run into 'shocking scenes' of weak children and dead mothers.

Aid workers and four Palestine Red Crescent ambulances crossed over to the Zaytun district of Gaza City on Wednesday, where they found four emaciated children laying beside their dead mothers in a house containing 12 bodies, said a statement released by the international Committee of the Red Cross.

Although the relief worker encountered other wounded Palestinians and three more corpses in nearby houses, Israeli soldiers ordered the rescue team to leave the area, the statement added.
"This is a shocking incident… the Israeli military must have been aware of the situation but did not assist the wounded. Neither did they make it possible for us or the Palestine Red Crescent to assist the wounded," said the head of the aid agency's delegation for Israel and the Palestinian Territories, Pierre Wettach."

Source:Al-Jazeera Magazine.
 
Last edited:

sasa wewe, ulitaka waisrael wapoteze muda wa kuokota maiti na majeruhi badala ya kuendeleza vita? unafikiri wakati wanafanya hivyo hamas watakuwa wamenyamaza kimya? pale wako vitani, hawako kuokoa watu au kukusanya maiti. wananchi wa gaza wote wanastahili adhabu, kwasababu waliichagua hamas chama cha kigaidi, na wanakisapoti hadi sasa hivi, hivyo wote ni hamas as long as gaza is controlled by hamas. kama wao sio hamas, basi wasingekipigia kura, pia wasingekisapoti au wangeandamana mtaani kulaani ugaidi wa hamas. kunyamaza kwao ni kukubaliana na hamas hivyo wote wanastahili hukumu mbele ya israel. i wish israel watachukua tena gaza ili wapalestina waende wakaishi west bank. pia, wanatakiwa kuishambulia pia misri ambao wameruhusu handaki litoke kwenye ardhi ya misri hadi gaza. hii vita sio ya mto mmoja, ni ya mataifa mengi ya kiarabu, lakini kwa woga wao mbele ya israel wanaende indirectly kwa kuwatumia hamas na hezbolah. wakienda kichwakichwa wanaogopa yaliyowakuta mwaka 1967, six day war. poleni waarabu, jueni ya kuwa israel ni taifa la Mungu, hamtakuja mlishinde hata siku moja. pangeni mambo mengine, kwa israel mnapoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…