Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa Simba

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Beki mwenye uwezo na sifa za kuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa mabingwa wa nchi [emoji881]

Karibu Mwenda. Wanasimba tunaamini utaitendea haki jezi ya Simba. #NguvuMoja
 
Shomari, Duchu na sasa Mwenda.

Mmoja atafute pa kukimbilia.
 
Duchu mbona ameomba kuondoka tangu mapema kwa maslahi mapana ya kipaji chake
 
Beki mwenye uwezo na sifa za kuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa mabingwa wa nchi [emoji881]

Karibu Mwenda. Wanasimba tunaamini utaitendea haki jezi ya Simba. #NguvuMoja
Karibu benchi Israel Mwenda
 
Ni mchezaji mzuri! Mimi ni mmoja wa mashabiki wake. Dogo ana kipaji kikubwa sana cha kucheza mpira.

Nitafarijika kuona anapewa nafasi ya kucheza kama ilivyo kwa wenzake akina Kibwana Shomari na Dickson Job kule Yanga.
 
Kibwana na Job wamepata nafasi baada ya kukosekana wachezaji wenye uwezo mkubwa kwenye nafasi zao. Djuma Shaban na Litombo wamefika tusubiri tuone kesho ya hawa madogo japo naona wakienda kusugua benchi kupisha hao mapro waliokuja.
 
Kipaji hiki kinaenda kufa kama akina Gadiel Michael walivyo kufa.,.
Acheni Ujinga na Utopolo wenu wa Kipumbavu.
Yuko wapi ELIUD AMBOKILE mfungaji bora toka MBEYA CITY aliyeeenda TP MAZEMBE.
Yuko wapi HABIBU KIYOMBO mchezaji Mahiri toka MBAO FC aliyeeenda MAMELOD SUNDOWNS.
Hao na wengine weeeeengi wooote walitakiwa na simba Mazwazwa wachache wakawadanganya ooooh mtaua Vipaji pale Simba. Sasa huko Mazembe na Mamelodi walikoenda kikowapi???
Tutajie mchezaji mzawa yeyote aliyetoka nje ya Nchi pasipokupita Simba na leo anacheza Ligi kubwa?
Anyway siwez endelea kumjibu kilaza asiyejua kudadavua soka kikubwa tambua kwamba Wasihini Wachezaji wenye ndoto za kucheza Nje ya Nchi wapite kwanza SIMBA SC ili waonekane na Mawakala wa Njeee. Otherwise wataishia kupanda TATA BUS
 
Msuva anakuchekiii afu anasema hiiiiiii
 
Dogo anaenda kumaliza carrier yake, ikiwezekana atafute management kama ya kibabage na yeye aende nje ya nchi kuliko sehemu ya kuua kipaji chake, Duchu kachungulia kwenye kwenye kibuyu akaona pale sio penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…