Israel Pays A Heavy Price To Hizbollah

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530

Hii ni kali kweli, yaani maiti ina thamani kuliko mtu hai!
 
Ibrah,

..hawa wenzetu huwa hawachoki kutafuta askari wao waliopotelea vitani.

..sisi askari wetu alizama kwenye maji Comoro na hakuna juhudi zozote za msingi kutafuta mwili wake.

..viongozi wote wakuu walikwenda kutoa mkono wa pole kwenye msiba wa yule dereva aliyeuawa na Ditopile.

..kwa upande mwingine wamekaa kimya kabisa kuhusu mpiganaji wetu tuliyempoteza Comoro.
 


Mkuu you have made my weekend!

Tunashindwa kusaidia wale walio hai, tutaweza kutafuta waliokufa kweli?

Kifupi we dont value life. Ndo maana hata ukisikia wamekufa raia 20 au 50 kwenye ajali, its just another day. Well its sad, lakini ndo essence ya umaskini.
 
Haiingii akilini kutuambia kuwa mpiganaji alizama halafu wasimpate, jeshi gani hili lisilokuwa na wazamiaji? halafu wanajiita marine. Hapa kuna kitu kinafichwa.
 
Tanzania hata postmortem haifanyi. Kufa ni kufa tu. Leo mkeo/mmeo akikunyesha sumu akafa ghafla then kesi kwisha. Watu wanatoa mkono wa pole wanakusahau. I doubt hata watu kama akina Amina RIP, Kolimba RIP walifanyiwa postmortem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…