Shusa luck
Member
- Apr 7, 2021
- 52
- 121
Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi imepelekea ata Israel kukosa nguvu za kuikabili Palestine