Inasemekana yawezekana Israel imetengeneza kombora kwa kutumia computer/ internet 'cyber-missile' kwa mfano wa computer virus aitwaye "Stuxnet" na kulielekeza Iran ambako limekuwa likiharibu 'computer control systems' kwenye mitambo yake ya nuclear. Internet ni uwanja mwingine wa vita. Je, Israel anatawala dunia?
Source: The Stuxnet worm: A cyber-missile aimed at Iran? | The Economist
Wamualike Sheikh wetu awalinde ,kama anavyomlinda muungwanaWaarabu wa na wenyewe watengeneza majini aina ya popo bawa, Waisrael watakoma
Waarabu wa na wenyewe watengeneza majini aina ya popo bawa, Waisrael watakoma
Kha! shauri yako, akitoka Iran anakuja tz, kama ni dini basi anayo ijuwa yeye ni uyahudi tu.unadhani mwenzio huyo wewe pia anakuona adui yake.Mungu ibariki israel