Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Hongera Lt. Jenerali Eyal Zamir kwa kuwa Mkuu wa 24 wa Wafanyakazi wa IDF.
Kamanda Eyal Zamir Mafanikio yako ni mafanikio ya IDF na mafanikio ya nchi yetu! Tunakuamini utaliongoza jeshi kwa mafanikio katika nyanja na changamoto zote! I kiwa ni pamoja na kuwa tokomeza magaidi wa Hamas,Hezbollah na kuzima ndoto zao za kuiangamiza Israel
Tunahitaji jeshi imara na la kuwakera Magaidi na Bwana wao Iran, tunataka jeshi lenie ujasiri lenye ubunifu na linaloendelea, jeshi linalojua kuzungumza Kiarabu na maadui zetu wakatuelewa. Tunakukabidhi Jeshi bora kabisa duniani endelea a sifa zake hizo.
View: https://youtu.be/yr5mebN3Lrw?si=9yP0H7woO_cIfnbQ