Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Waziri wa Ulinzi wa Israel, bwana Yoav Galant, amesema kuwa shambulio la Iran la hivi karibuni lilikiwa kali lakini lilishindwa, kwa sababu hakuna radilimali za kijeshi za Israel zilizoharibiwa.
Kuhusu kuiadhibu Iran kwa shambulio hilo, bwana Yoav amesema kuwa shambulio la Israel litakuwa la nguvu, lenye usahihi, na zaidi ya yote, litakalowashangaza. Iran hawataelewa kilichotokea na kimetokea kwa namna gani.
Hawa wayahudi sijui watatumia nini!! Kutamba kwa namna hii siyo bure, lazima hawa wayahudi kuna kitu wana uhakika wa kukifanya.
Habari yenyewe, kwa kiingereza, hii hapa:
"Speaking on Wednesday, Israel’s Minister of Defense Yoav Gallant said the recent Iranian attacks on Israel had been “aggressive” but ultimately “failed” since no military assets were damaged.
On the prospect of Israeli retaliation, Gallant said: “Our strike will be powerful, precise, and above all – surprising. They will not understand what happened and how it happened."