Israel yashambulia Syria na kusambaratisha kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali Mali ya Iran huko Syria

hizi habari hazitishi siku hizi,watu tushaamua tuwe magaidi tukomeshe ushoga duniani na haturudi nyuma mpaka mashoga muishe
 
Kwani wewe na huyo mwenzio mmetoa ushahidi kuhusu Netanyahu?!
Kwani video hujaiona iliyopostiwa Netanyahu akitetemeka mkono??
Pia kuna jamaa humu ndani alieleza kuwa Netanyahu ana matatizo ya afya.
Embu fuatilia mjadala usikurupuke.
 
Kwani video hujaiona iliyopostiwa Netanyahu akitetemeka mkono??
Pia kuna jamaa humu ndani alieleza kuwa Netanyahu ana matatizo ya afya.
Embu fuatilia mjadala usikurupuke.
Propaganda
 
Dadeki. Ngoja wasiria wa buza waje kubisha.
 
Dadeki. Ngoja wasiria wa buza waje kubisha.
Hakuna aliyebisha.
Na Syria kulipuliwa na Israel sio mara ya kwanza.
Syria haina ulinzi kamili kwasababu ya vita za makundi yanayoendelea ndani yake.
 
Tunamwona hacheki na kima ndio maana ana wakimbizi wa ndani zaidi ya raia laki tatu na Kaskazini mwa Israel hususan Galilaya watu wamepakimbia.
Kawaida nchi inayowajali raia wake imewahamisha hayo maeneo sio magaidi wenu wa kidini wanajikinga na raia wanawatumia raia kama ngao ila jeshi la israel lipo tayari wapoteze maisha raia wapone
 
Kwani video hujaiona iliyopostiwa Netanyahu akitetemeka mkono??
Pia kuna jamaa humu ndani alieleza kuwa Netanyahu ana matatizo ya afya.
Embu fuatilia mjadala usikurupuke.
Kwa umri wake hilo ni la kawaida sn,we kama unafikiria netanyau kuwa ktk hali hiyo Ayatola atakuwa ktk gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…