#COVID19 Israel yawa nchi ya kwanza kutoa 'booster' ya pili

#COVID19 Israel yawa nchi ya kwanza kutoa 'booster' ya pili

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 wameanza kupewa 'booster' ya pili ambayo inafanya iwe chanjo ya nne ya #COVID19

Misululu ya watu imeonekana katika Vituo vya Afya mjini Tel Aviv ili kupata chanjo baada ya maambukizi ya Omicron kuenea kwa kasi nchini #Israel

Watu wengine wanaopewa kipaumbele cha kupata chanjo ya nne ni wote waliohatarini kupata maambukizi ikiwemo wahudumu wa Afya
===
Israel launches 4th vaccine dose for over-60s

Queues were seen forming at vaccination centres in Tel Aviv, on Monday, as Israel launched a programme to administer a second booster of the COVID-19 vaccine for people over the age of 60 and vulnerable populations. The country became the first in the world to do so.

In addition to those over 60, the campaign is aimed at medical staff, residents of nursing homes, immunocompromised persons, and persons living in geriatric wards.

As the Omicron variant has spread worldwide, leading new infections to skyrocket over the holidays. Israel has recorded over 30 thousand new cases in the last week.
 
Back
Top Bottom