Ni kweli magaidi hawa wanapigishwa Gwalide!!Hii vita ikiisha sizan tena kama kuna wa kurusha ata jiwe kuelekea Israel maana kaonesha jinsi gani alivyo katili
Hongera Netanyahu kwa kua kiongozi mwenye maamuzi magumu na msimamo thabiti ( kwenda kinyume na mikataba ya vita ya UN)
Laiti angecheka nao basi shambulio kubwa zaid ya oct 7 lingekua linapikwa muda huu lakini Kwa kinacho endelea Gaza mpaka Hamas wenyewe wanaomba tu vita viishe Raia wapumzike na hili gwalide linalopigwa Gaza
Hamas mateka hao wanawasaidia sana wao kuendelea kuitawala Gaza maana bila mateka hao wangekuwa wamefyekwa wote.Hivi mateka wa kiyaudi wanawasaidiaje Hamas kwenye mgogoro huu?
Kila siku wanasema hawawarudishi na wanaendelea kuuwawa na kupigwa makwenzi.
Mnieleweshe ni faida ipi hamas wanaipata kwa kuwatunza mateka wao?
Hao wameanza kupigana lini ?Hii vita ikiisha sizan tena kama kuna wa kurusha ata jiwe kuelekea Israel maana kaonesha jinsi gani alivyo katili
Hongera Netanyahu kwa kua kiongozi mwenye maamuzi magumu na msimamo thabiti ( kwenda kinyume na mikataba ya vita ya UN)
Laiti angecheka nao basi shambulio kubwa zaid ya oct 7 lingekua linapikwa muda huu lakini Kwa kinacho endelea Gaza mpaka Hamas wenyewe wanaomba tu vita viishe Raia wapumzike na hili gwalide linalopigwa Gaza
Haijalishi vita ilianza lini but this time vikundi hivi vyote vitafanya hesabu kabla ya kushambulia IsraelHao wameanza kupigana lini ?
Huwafahamu hao watu sio Watanganyika hao.Haijalishi vita ilianza lini but this time vikundi hivi vyote vitafanya hesabu kabla ya kushambulia Israel
Hii vita imebadili siasa za middle East kwa kiasi kikubwa
Nazani unaona wanavyo lia kuomba jumuiya za kimataifa kuingilia kati kwa jinsi Israel anavyo pigaHuwafahamu hao watu sio Watanganyika hao.
Hamas wamemalizika ?Hezbollah ? Houthi ? Iran ?Nazani unaona wanavyo lia kuomba jumuiya za kimataifa kuingilia kati kwa jinsi Israel anavyo piga
Walizoe kupapaswa lakini wakati huu Israel alicho bakisha ni nyuklia tu
Msosi umeme na maji kakata vyote kafunga mipaka yote nobody in nobody out
Ndege zinaangusha mabom bila kujali ni hospital shule wala makazi ya Raia
Ni mpumbavu tu atakae take Risk kuanzisha vita na Israel akijua wazi hawezi shinda
Hezbollah imebaki kilema kavunjwa miguu yote tangu wamle kichwa Hassan Nasrallah Hezbollah imebaki mbwa asie na meno Israel kila siku ana boom kusini mwa Lebanon na hakuna roket ata 1 inatumwa kwenda IsraelHamas wamemalizika ?Hezbollah ? Houthi ? Iran ?
Nikweli kwa kuangalia yanayojili nihatarisana olewao wafilisitiIsraeli hawana chaguo ila kuchukua hatua.
Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji ya Oktoba 7.hayatajirudia tena milele
Israel haina chaguo ila kuwasambaratisha magaidi wa Hamas na kuwarudisha mateka wake nyumbani.
Hii sio vita ambayo Israeli walichagua.
Israeli lazima ichukue hatua - kutetea watu wake na kuhakikisha ukatili kama huo hauwezi kutokea tena.
Unatanguliza hisia. Swali langu ni hili Hamas wamemalizika ? Hezbollah ? Houthi ? Iran ?Hezbollah imebaki kilema kavunjwa miguu yote tangu wamle kichwa Hassan Nasrallah Hezbollah imebaki mbwa asie na meno Israel kila siku ana boom kusini mwa Lebanon na hakuna roket ata 1 inatumwa kwenda Israel
Iran imepigwa vinu vyake vya nyuklia kafanyiwa espionage na kuuwawa wakuu wa majeshi na usalama
Wa houth ndio hao wapo msibani
Hamas ndio kabisaa kila siku wanaomba jumuiya za kimataifa kuingilia kati vita iishe
Swali gani hilo? Ujinga utakuwa unakusumbua sana!! Hamas unawaona Sasa hivi wana furukuta? Unawaona Hezbollah wanasumbua huko kaskazini mwa Israel? Na leo hii shule huko zimefunguliwa na wanafunzi wanaenda shule bila shida!!! Houth nao wanachezea kichapo mawaziri 12 wamerambishwa mchanga na bado wameahidiwa dose nyingine na majeshi ya Israel!!Unatanguliza hisia. Swali langu ni hili Hamas wamemalizika ? Hezbollah ? Houthi ? Iran ?
Mbona faida zina zidi hasara wanayoipata.Hamas mateka hao wanawasaidia sana wao kuendelea kuitawala Gaza maana bila mateka hao wangekuwa wamefyekwa wote.
Pili wanawatumia kama Bargaing-Cheap!!!
Netanyau akbaruHivi mateka wa kiyaudi wanawasaidiaje Hamas kwenye mgogoro huu?
Kila siku wanasema hawawarudishi na wanaendelea kuuwawa na kupigwa makwenzi.
Mnieleweshe ni faida ipi hamas wanaipata kwa kuwatunza mateka wao?